Kuna haja ya kulaumiana?


daaah vyuoni kuna mambo, nilikoswakoswa mie kwenye scene kama hii lol thank God!
 
Dena Amsi, kwetu Ntwara tunasema kwanini kumnyima mtu kitu unacho? teh teh teh!Unajua lawama inakuja pengine sababu alichonacho ni second option! Bila kujua inaweza kuwa the best option!

Ha ha ha hakuna kunyimana sio haya bana..............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…