Mie nina miaka 8 kwenye ndoa sijawahi lala ukweni. Hata niwe na issue mpaka saa 4 usiku lazima nisepe au nikalale sehemu nyingine na nimezoea hivyo. Yaani hata wife analijua hilo.Waheshimiwa malijendi,
Tangu nioe ni miaka miwili imepita.
Ndoa ilihudhuriwa na wazazi wote na ndugu wachache waliopata nafasi.
Kesho nina safari ya mishe zangu tu za kutafuta riziki.
Wilaya niendayo ndiko kilipo kijiji cha wazazi na jamaa wa mke wangu, na nitaenda huko kijijini kuwasabahi na kuwaona baadhi ya ndugu zake.
Je kuna haja ya lijendi kulala pale ukweni au niwasabahi tu kisha nikalale zangu town?
Malijendari hawalali ukweni.Waheshimiwa malijendi,
Tangu nioe ni miaka miwili imepita.
Ndoa ilihudhuriwa na wazazi wote na ndugu wachache waliopata nafasi.
Kesho nina safari ya mishe zangu tu za kutafuta riziki.
Wilaya niendayo ndiko kilipo kijiji cha wazazi na jamaa wa mke wangu, na nitaenda huko kijijini kuwasabahi na kuwaona baadhi ya ndugu zake.
Je kuna haja ya lijendi kulala pale ukweni au niwasabahi tu kisha nikalale zangu town?
Legendary [emoji122][emoji122]Nenda Wasabahi then kalale zako Town
Lala ukweni kama upo na Mkeo....
Mwenyewe hivyo.... Wasikujue jue sana lijendi[emoji28]
Tena hapa wajumbe tulikazia sana🤣🤣🤣Me naona lijendi hakuepo kwenye kikao chetu cha wiki iliyopita….
Moja ya ajenda tulyokubaliana ni hyo kutokulala ukweni…..rejea minutes za kikao chetu…
Alpha team do you copy….
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha-ha!!Kalale halafu usiku ukienda kukojoa uparamie masufuria uambie unaiba mboa[emoji28][emoji28]