kuna haja viongozi wetu kufanya tafiti kabla ya maamuzi kama taratibu za utawala zinavyo elekeza ...

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
najaribu kulifuatilia swala la mbeya day kwa pande zote mbili halafu najaribu kuliweka katika hali ya uhalisia kabisa ambao hata waziri wangu wa mambo ya ndani mh. Mwigulu au prof. Ndalichako au simbachawene kama angekuwa mwalimu wa mwanafunzi huyo ni kipi angekifanya pindi atakapo patwa na hali kama hiyo katika hali ya taharuki sababu hata polisi hujikuta wamefyatua risasi kwa mtuhumiwa msumbufu baada ya kupata pingamizi kutoka kwa mtuhumiwa huyo.

IKUMBUKWE SIUNGI MKONO UTESAJI WOWOTE KWA KIUMBE CHOCHOTE.

hebu soma hapo chini maelezo yalivyo kuhusu sakata hilo

Nimeikopi mahali kama ilivyo.....

[10/7, 08:54] Lucy: [10:22PM, 10/6/2016] ‪+255 744 159 008‬: This is off record please. Kiukweli dogo kabla ya pale, alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzie wamechapwa ambao wote hawakufanya zoezi darasani alipohojiwa akamjibu vibaya mwal katika kumshika wamchape akampa ngumi ya mdomo mwalimu. Ilibidi Wamchukue wampeleke ofisini lakini mwl aliyepigwa ngumi awali alirudi darasani kutuliza wanafunzi wengine. Alipoona wametulia alianza kurudi ofisini kumbe yule dogo pale ofisini alipoona walimu wamebaki wawili tu akawapa dozi ya ngumi wakamshindwa. Akaanza kutoka nje ya ofisi anakimbia yule mwalimu alikuwa darasani akamuona na kumuwahi ukapigwa mkono kidogo akammudu na kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Walimu kadhaa wakiwa wanaugulia maumivu.
[10:22PM, 10/6/2016] ‪+255 744 159 008‬: Unajua kwa huyu dogo yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu ndo maana siku11 toka tukio limetokea wala hajaripoti. Hata home hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe. Achilia mbali hayo ameshavunja tv ya dingi yake home wiki mbili zilizopita. Wiki hili amekamatwa na walimu akivuta bangi shuleni na wenzake. Baba yake anasema simtaki huyu nyumbani kwangu. Hivyo tusiangalie mtu alipojikwaa tuangalie pia source ya kujikwaa. Tunapotoa maamuzi tuangalie mambo kwa ujumla wake.
[10/7, 08:55] Lucy: Uskte walimu hao hawana makosa upande mwngne hvi ikiwa ni wewe umedundwa ngum mbele ya wanafunz itakwaje wanafunz wanatuaibsha bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom