Kuna haja kwa Kanisa Katoliki kuchukua Jukumu la kulinda wachungaji wake

Mfano rahisi Masanja Mkandamizaji ni Mchungaji

Josephat Gwajima ni askofu

Lakini wote wawili hawawezi kupata upadre maisha yao yote

Dr Slaa ni padre akienda kwingineko atapewa uchungaji na Uaskofu
Ukisoma hii hotuba ya Papa Fransisco pengine itatusaidia kupata ufahamu mkubwa zaid- Hotuba inaanza kwa kusema-

Askofu ni mchungaji anayejua kuomba kama Musa kwa ajili ya watu!​

 
Mnaosema mapadre wanakula wake za watu ndio maana wanauwawa,niwaulize kitu kimoja.
Ni wao tu ndio wanachakata mbususu za wake zenu!!??
Ninyi mbona mnachakata sana mbususu za wake za wengine na waume zao wanafahamu lakini hawawaui!!??
 
Mnaosema mapadre wanakula wake za watu ndio maana wanauwawa,niwaulize kitu kimoja.
Ni wao tu ndio wanachakata mbususu za wake zenu!!??
Ninyi mbona mnachakata sana mbususu za wake za wengine na waume zao wanafahamu lakini hawawaui!!??
You are very right, au mashehe na wachungaji wengine hawauawi kwa sababu ni waaminifu asilimia mia?
 
A bishop then must be blameless, the husband of one wife, vigilant, sober, of good behaviour, given to hospitality, apt to teach
1 Timothy 3:2
 
Ukisoma hii hotuba ya Papa Fransisco pengine itatusaidia kupata ufahamu mkubwa zaid- Hotuba inaanza kwa kusema-

Askofu ni mchungaji anayejua kuomba kama Musa kwa ajili ya watu!​

wewe unahangaika na huyo jamaa !!
 
Huu ni ujumbe ninaoupeleka kwa viongozi wa Juu wa Kanisa la Katoliki Tanzania , kwamba ni wazi sasa kuna mashambulizi kutoka kusikojulikana kuelekea kwa maparoko na wachungaji wao , Yalianzia Dar es Salaam na sasa yamefika Mbeya.

Bila kupepesa macho mauaji haya yana walakini mkubwa sana , ripoti za vifo vinavyotokea haziaminiki , kabla ya kufunguka zaidi nashauri Kanisa Katoliki kutafuta walinzi wenye uwezo mkubwa ili kulinda Wachungaji na Maaskofu wao .
Maaskofu wanasubiri wao waguswe? Hivi vifo tatanishi kwa mapadri vinashangaza sana ...
 
Tatueni migogoro yenu ya ndani ,,,Vita ya madaraka ndio chanzo Cha yote,,,pia suala la ulaji mbususu kwa wake za watu linachangia mno
katoliki sio km msikit , vyeo vinataratibu zake na havina maslai ya kumtoa mtu uhai tena twice a yr , it means hivyo vyeo vimeongezewa maslai hv karibuni mpk mauaji yashamir , inshu za wake za watu siez ipa kongole ,Pandre sio mchungaj , Pandre amefunz elimu ngum kuliko hata madaktar , inaeza chukua had miaka 5 ili uwe qualify kuwa padre na kweny hiyo miaka 5 maisha na akili yako inakuwa chinI ya wakufunz , huanz wengi ila humaliza wachache
 
Mbona sisikii masista wakiuawa zaidi ya hao mapadri, ukweli lazima usemwe kuwa mapenzi ndio chanzo vifo kwa hao mapadri. Msitake kuweka nchi roho juu ikiwa tatizo lipo wazi, ni mara ngapi tunashuhudia mtaani mapadri wakiwa na skendo kibao za kutembea na wake za watu mpaka kuwazalisha.
soma thread acha kukurupuka mkuu
 
Wewe unaelewa mchungaji ni mtu wa aina gani haswa? au mchungaji unahisi lazima atoke KKKT?

Jukumu la vyombo vya usalama ni nin hasa? kila mahali ni politics tu. Kijana wa ACT alipotekwa jeshi la polisi likakana na kuja na matokeo kwamba Nondo alijificha kwa mpenzi wake na kwamba alijiteka mwenyewe ingawa ukweli ukaja kudhihirika kuwa jeshi la polisi lilidanganya-Wonders will never end in this country.
ulijuaje ukwel ?
 
Jibu hoja kaka, Mchungaji ni mtu wa aina gani hasa kwenye kanisa? Binafsi naelewa Padre anaweza kuitwa kwa majina tofautitofauti mf. Mtawa, Mchungaji, khalifa, nk.
ww acha ubish , kuna pastor na padre watu wawili tofauti , hata majukumu na wasifa ni tofaut ktk nyumba zao za ibada
 
Back
Top Bottom