Kuna haja gani ya kuchimba madini yetu?

Kuna haja gani ya kuchimba madini yetu?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,298
Reaction score
47,337
Inakuwaje wanajamvi!

Hamna haja ya kuchimba tena madini yetu bora yabakie tu ardhini.

Inasikitisha sana hayana hata msaada kwetu. Yani yanatuletea tu asilimia 4% kwenye uchumi wetu.

Inasikitisha sana. Na siyo Tanzania tu Africa yote. Sisi waafrika tumelaaniwa. Kuna haja gani ya kuyachimba?
 
Mnadanganywa na macamera ingia kwenye hiyo biashara uone tozo zilizomo.
 
Back
Top Bottom