Kuna gharama kiasi gani kuweka Bikon Kisheria katika shamba?

Inatakiwa uende kwa watu wa ardhi wa wilaya ili wakupimie na upate hati ya kimila au ya miaka 99. Ila ishu ni gharama ya upimaji inaweza kuzidi bei ya kiwanja/shamba. Pia jiandae kuzungushwa kama unacheza safa bwege.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom