wakati mwingi waafrika huomba kisicho kuwepo maana hata hawakijui vzrKweli Mkuu ni laana zilizotukuka. Kukumbatia mila na desturi za zamani wengi wetu zimeingizia familia zetu mzigo mkubwa. Sometimes you wonder! Why only me and my family kha! Asante kutukumbusha. Lakini na maombi nayo hayajibiki sometimes. Ni mawazo yangu na utafiti wangu. Wapendwa wa Mungu tusaidiane ktk hili!
Angalia kabla ya ndoto ulikuwa una mipango gani...wakati wa ndoto ni ipi ilikwama na sasa ni ipi umeikamilisha..si lazima yawe mambo makubwaIna maana nimeshatimiza? Dah ningependa kufahamu lilikuwa ni jambo gani
Kuna hizi ndoto huwa sizipendi za kuota nipo shule , pili Kama Leo nimeota nafanya mtihani na maswali ya machagulio Tena mtihani wa English,Hii ishu imemkuta mzazi wangu pamoja na baba ake, Babu alikuwa na kazi flani lakini mpaka anastafu alikuwa hana hata nyumba ya kuishi zaidi alipanga na mwisho wa siku watoto wake wakamnunulia nyumba,
Sasa mzazi wangu Sasa pamoja na kuwa na ela , lakini izo ela hatujawahi zifurahia wala kuzitumia effectively, zaidi zimetawanywa kwa wanawake mbalimbali, na hakuna kitu chochote cha kuingiza ela alichotengeneza, in short full umaskini.
Kuna hizi ndoto huwa sizipendi za kuota nipo shule , pili Kama Leo nimeota nafanya mtihani na maswali ya machagulio Tena mtihani wa English, wakati hizi hatua nilishazipita mda Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mzazi wangu Sasa pamoja na kuwa na ela , lakini izo ela hatujawahi zifurahia wala kuzitumia effectively, zaidi zimetawanywa kwa wanawake mbalimbali, na hakuna kitu chochote cha kuingiza ela alichotengeneza, in short full umaskiniHii ishu imemkuta mzazi wangu pamoja na baba ake, Babu alikuwa na kazi flani lakini mpaka anastafu alikuwa hana hata nyumba ya kuishi zaidi alipanga na mwisho wa siku watoto wake wakamnunulia nyumba,
Sasa mzazi wangu Sasa pamoja na kuwa na ela , lakini izo ela hatujawahi zifurahia wala kuzitumia effectively, zaidi zimetawanywa kwa wanawake mbalimbali, na hakuna kitu chochote cha kuingiza ela alichotengeneza, in short full umaskini.
Kuna hizi ndoto huwa sizipendi za kuota nipo shule , pili Kama Leo nimeota nafanya mtihani na maswali ya machagulio Tena mtihani wa English, wakati hizi hatua nilishazipita mda Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachagga hatuna matatizo, hata wasukuma wanamila na tamaduni zao, weka ndani imitunga.Tumuombe Mungu huku unaamini Mila zako za kichaga na matambiko.
Wachaga tuna matatizo sana
Ni sawa, lakini huwezi changanya Mungu na matambiko, ni vitu viwili tofauti haviendani. Chagua moja.Wachagga hatuna matatizo, hata wasukuma wanamila na tamaduni zao, weka ndani imitunga.
Kila kabila lina mila zake na matambiko yake sio wachagga tu.Wachagga hatuna matatizo, hata wasukuma wanamila na tamaduni zao, weka ndani imitunga.
Mshana Jr.. hizo ndoto za kuota upo shule au chuo wakati ushaachana na masomo kitambooo, huwaa zina maana gani? Kiukweli huwaa zinaniboa mnoo kila wiki lzm niote hata mara 3-5Kuna hizi ndoto huwa sizipendi za kuota nipo shule , pili Kama Leo nimeota nafanya mtihani na maswali ya machagulio Tena mtihani wa English,
wakati hizi hatua nilishazipita mda Sana.
Kuna mambo yanakuhitaji uyasimamie hasa yako binafsi na hayo ya kifamilia..tulia penye ukimya ukiwa huna uchovu tafakari kwa makini utaona ni yapi yamakupasa kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo, mipango ama ahadi hujakamilisha ..once ukiyakamilisha ndoto zitakataMshana Jr.. hizo ndoto za kuota upo shule au chuo wakati ushaachana na masomo kitambooo, huwaa zina maana gani? Kiukweli huwaa zinaniboa mnoo kila wiki lzm niote hata mara 3-5
Kuna mambo, mipango ama ahadi hujakamilisha ..once ukiyakamilisha ndoto zitakata
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwah kuota like three months back kuhusu ndoto ya kuwa darasani, nashukuru Mungu Niko kwenye harakati za kutimiza hayo mambo ambayo sikukamilisha
Nikiangalia maisha yangu NA WADOGO ZANGU ndo nakubali kweli kuna laana ya ukoo maana MUNGU PEKEE ndo anayejua....Baba yake na babu yangu alikuwa na ng`ombe ambaye Ukoo wao ulitaka kumtumia kwa KAFARA/TAMBIKO lao kwa kuwa ndo pekee alikidhi vigezo vyao. Huyu mzee alimkimbiza huyu ng`ombe kijiji cha mbali maana inasemekana kumtoa ingekuwa kuipa nukzi kizazi chake.. Bahati mbaya yule aliyepelekewa ng`ombe naye hakuwa mwaminifu, alitoa taarifa na yule ng`ombe alichukuliwa na kurudishwa kwa nguvu na akachinjwa na TAMBIKO likafanyika... Wale wana UKOO kwa hasira walimlaani yeye na KIZAZI chake ambao ndo siye sasa..
Kiukweli ile laana inafanya kazi maana yeye mwenyewe alikufa kifo cha UTATA, mwanae ambaye ni babu yangu mwaka 1994 alifia jela kwa kesi ya kusingiziwa..
Huyu BABU yangu mimi sasa watoto wake ambao ni mashangazi zangu waliokuwa wa 8 , wote hakuna aliyewahi kuolewa,, na wameshakufa wa 5 na hao walio hai wa 3 haijulikani wanakoishi japo inasemekana wanaonekana kwenye MIALO ya Ziwa VICTORIA.... mara maeneo ya KENYA....
Watoto wa 2 wakiume, ambapo mmoja ni mzee wangu ambaye kapigika kinyama japo miaka kidogo ya nyuma alikuwa na hela kidogo, hela zimemyeyuka baada ya mama yangu mzazi kufa na yeye kuoa MKE mwingine ambaye inasemekana ni MTU MWENYE TEKCNOLOJIA YA USIKU... Baba yetu mdogo alikuwa mwizi wa ng`0mbe aliuwawa na wanakijiji kwa kuwekewa mtego...
Nikiangalia maisha yangu NA WADOGO ZANGU ndo nakubali kweli kuna laana ya ukoo maana MUNGU PEKEE ndo anayejua....
Sasa umechukua hatua gani?Baba yake na babu yangu alikuwa na ng`ombe ambaye Ukoo wao ulitaka kumtumia kwa KAFARA/TAMBIKO lao kwa kuwa ndo pekee alikidhi vigezo vyao. Huyu mzee alimkimbiza huyu ng`ombe kijiji cha mbali maana inasemekana kumtoa ingekuwa kuipa nukzi kizazi chake.. Bahati mbaya yule aliyepelekewa ng`ombe naye hakuwa mwaminifu, alitoa taarifa na yule ng`ombe alichukuliwa na kurudishwa kwa nguvu na akachinjwa na TAMBIKO likafanyika... Wale wana UKOO kwa hasira walimlaani yeye na KIZAZI chake ambao ndo siye sasa..
Kiukweli ile laana inafanya kazi maana yeye mwenyewe alikufa kifo cha UTATA, mwanae ambaye ni babu yangu mwaka 1994 alifia jela kwa kesi ya kusingiziwa..
Huyu BABU yangu mimi sasa watoto wake ambao ni mashangazi zangu waliokuwa wa 8 , wote hakuna aliyewahi kuolewa,, na wameshakufa wa 5 na hao walio hai wa 3 haijulikani wanakoishi japo inasemekana wanaonekana kwenye MIALO ya Ziwa VICTORIA.... mara maeneo ya KENYA....
Watoto wa 2 wakiume, ambapo mmoja ni mzee wangu ambaye kapigika kinyama japo miaka kidogo ya nyuma alikuwa na hela kidogo, hela zimemyeyuka baada ya mama yangu mzazi kufa na yeye kuoa MKE mwingine ambaye inasemekana ni MTU MWENYE TEKCNOLOJIA YA USIKU... Baba yetu mdogo alikuwa mwizi wa ng`0mbe aliuwawa na wanakijiji kwa kuwekewa mtego...
Nikiangalia maisha yangu NA WADOGO ZANGU ndo nakubali kweli kuna laana ya ukoo maana MUNGU PEKEE ndo anayejua....
We Loyalist nani kakuambia wachaga hawana matatizo.Hebu nenda Kirua kisha ukitoka hapo nenda Uru halafu ukimaliza hapo nenda hospitali ya KCMC uangalie watu wengi wenye magonjwa ya akili ni kabila gani kisha njoo hapa nipe mrejeshoWachagga hatuna matatizo, hata wasukuma wanamila na tamaduni zao, weka ndani imitunga.