Mkuu kuna fitina zinafanyika ni kuwa wewe hujui. Ila jitihada kubwa sana zinatumika kuwahujumu ukawaWana jf,
Ni ukweli usiopingika kwamba tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu, tumeshuhudia ukimya mkubwa katika kambi ya Ukawa kwenye kitengo cha uhamasishaji na matangazo.
Tofauti na wenzetu wa ccm ambao wameweka matangazo na amshaamsha kila pembe kama tv, radio, magazeti mitandaoni na kila sehemu ambapo wanahisi ujumbe utawafikia watu wengi kwa muda mfupi(haswa vijana).
Kinachonishangaza zaidi ni ukimya na kupooza huku ambako kumeingia hadi hapa ukumbini.
Sioni tena zile pilika tulizozizoea za akina Molemo na Tumaini Makene.
Swali langu kwenu viongozi wa ukawa, Mnafikiri bidhaa itanunulika vizuri bila matangazo?? Nb. Pamoja na uzuri wa bidhaa za Samsung, wanongoza pia kwa kuzitangaza. Chukueni hatua haraka!!
Ni kweli UKAWA tuliangalie hili kwa umakini mkubwa. Jitahidini kuwepo hata tv 1 ya kurusha kampeni za wagombea wenu live. Nimeona ccm wanaitumia vzr nafasi kupitia star tv. Yaani wanaipoteza UKAWA kwa njia nyepesi sana. Kuona ni kuamini...fanyeni juu chini muwe live vinginevyo ushindi mtausoma tu.Wana jf,
Ni ukweli usiopingika kwamba tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu, tumeshuhudia ukimya mkubwa katika kambi ya Ukawa kwenye kitengo cha uhamasishaji na matangazo.
Tofauti na wenzetu wa ccm ambao wameweka matangazo na amshaamsha kila pembe kama tv, radio, magazeti mitandaoni na kila sehemu ambapo wanahisi ujumbe utawafikia watu wengi kwa muda mfupi(haswa vijana).
Kinachonishangaza zaidi ni ukimya na kupooza huku ambako kumeingia hadi hapa ukumbini.
Sioni tena zile pilika tulizozizoea za akina Molemo na Tumaini Makene.
Swali langu kwenu viongozi wa ukawa, Mnafikiri bidhaa itanunulika vizuri bila matangazo?? Nb. Pamoja na uzuri wa bidhaa za Samsung, wanongoza pia kwa kuzitangaza. Chukueni hatua haraka!!
Kumnadi fisadi inataka moyo wa chuma
Wana jf,

CCM wameteka mabango yote ya matangazo mijini. Ukienda unaambiwa already booked! Ila UKAWA na LOWASSA wamekaa ndani ya mioyo ya watanzania, hata bila kampeni kali tunawakabidhi nchi Tar 25.10.2015.

Babu yenu kabaki kama yeye ns wahuni wachache wanaomlia vijipesa vyake vya mwisho ..Ukawa iliishia 2014 haya ya sahivi ni maigizo ya Mr Ben
Mkuu kuna fitina zinafanyika ni kuwa wewe hujui. Ila jitihada kubwa sana zinatumika kuwahujumu ukawa