Kuna dawa ya kuondoa Haemmorhoid moja kwa moja? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna dawa ya kuondoa Haemmorhoid moja kwa moja?

Discussion in 'JF Doctor' started by Ambassador, Nov 24, 2009.

 1. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nimewahi kusikia kwamba Haemmorhoid haina dawa zaidi ya zile za kutuliza inapotokea kama Annusol. Je habari hizi ni kweli au kuna mtu anayefahamu kama kuna dawa ya permamanent ya Haemmorhoid?
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Operation/surgery tu.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hilo halina mjadala mazee, ila kama unaweza, kule lushoto kuna botanical garden moja ina miti mingi yenye medicinal properties na wanasema hata hemorrhoids zinaweza kuondoa (pia hutibu prolapse)

  Jaribu kuulizia, but the best is surgery!!!
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Unaweza kutaja jina la miti hiyo ili huyu mwenzetu aitafute?
   
 5. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nasikia kuna watu wamefanyiwa surgery lakini ilirudi! Kuna mdosi moja ambaye ameenda mpaka India na akaspend mihela kibao lakini haikusikia dawa! Au kuna stage amabayo hata surgery haifui dafu?
   
Loading...