anaweza tuh kufikiria kwani kazaliwa na pombe au anafanya kazi kwajili ya pombe kwani alivyokua hanywi pombe alipungukiwa na nini na hiyo pombe imempa nini toka anze kuitumikia
anaweza tu kufikiria kwani kazaliwa na pombe au anafanya kazi kwajili ya pombe kwanai alivyokua hanywi pombe alipungukiwa na nini na hiyo pombe imempa nini toka anze kuitumikia
Pombe si Ugonjwa,,Pombe ni Dawa,,Wewe uliona wapi Dawa ikawa na Dawa,,,Kila Kitu ni Kiasi na Kwa Wakati,,Ukifanya vinginevyo ni Kuitafuta fedhea,,,mateso na majeraha unachosha Mwili Tu.###Sira 31:27###