Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,470 Reaction score 2,766 Aug 16, 2024 #1 Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe. Shukran
Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 6,394 Reaction score 17,531 Aug 16, 2024 #2 Muombe Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi lakini jiepushe pia maeneo yenye vilevi na yote hatarishi.
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,377 Reaction score 80,235 Aug 16, 2024 #3 Ndio dawa ni kuacha tu ukiendekeza utaishia kuitwa majina ya ulevi kama ahmada umelewa na kuanguka hovyo kwenye mitaro Cc ephen_
Ndio dawa ni kuacha tu ukiendekeza utaishia kuitwa majina ya ulevi kama ahmada umelewa na kuanguka hovyo kwenye mitaro Cc ephen_
Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,470 Reaction score 2,766 Aug 16, 2024 Thread starter #4 Nangu Nyau said: Muombe Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi lakini jiepushe pia maeneo yenye vilevi na yote hatarishi. Click to expand... Aisee sasa sehemu gani ambayo haina pombe
Nangu Nyau said: Muombe Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi lakini jiepushe pia maeneo yenye vilevi na yote hatarishi. Click to expand... Aisee sasa sehemu gani ambayo haina pombe
Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,470 Reaction score 2,766 Aug 16, 2024 Thread starter #5 Vincenzo Jr said: Ndio dawa ni kuacha tu ukiendekeza utaishia kuitwa majina ya ulevi kama ahmada umelewa na kuanguka hovyo kwenye mitaro Cc ephen_ Click to expand... Sasa unaachaje sasa
Vincenzo Jr said: Ndio dawa ni kuacha tu ukiendekeza utaishia kuitwa majina ya ulevi kama ahmada umelewa na kuanguka hovyo kwenye mitaro Cc ephen_ Click to expand... Sasa unaachaje sasa
E EMACHA JF-Expert Member Joined Jul 16, 2021 Posts 956 Reaction score 1,780 Aug 16, 2024 #6 Royal Son said: Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe Shukran Click to expand... Dawa ni kuacha tu!
Royal Son said: Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe Shukran Click to expand... Dawa ni kuacha tu!
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,377 Reaction score 80,235 Aug 16, 2024 #7 Royal Son said: Sasa unaachaje sasa Click to expand... Acha tu Mkuu usinywe Tena Cc ephen_
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,738 Reaction score 27,103 Aug 16, 2024 #8 walevi ni wapumbavu ukilijua hilo wala huwezi kunywa pombe
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,324 Reaction score 62,212 Aug 16, 2024 #9 Sasa ukiacha pombe sisi tutamdharau nani? Walevi ndo watu tunaowadharau
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,383 Reaction score 130,949 Aug 16, 2024 #10 Kwa nini unaacha pombe.
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 11,389 Reaction score 24,543 Aug 16, 2024 #11 Nangu Nyau said: Muombe Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi lakini jiepushe pia maeneo yenye vilevi na yote hatarishi. Click to expand... Mungu mwenyew amewezesha uwepo wa pombe kuwepo!! Pia kaahidi huko peponi kutakuwa mito unayotiririka pombe daily.
Nangu Nyau said: Muombe Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi lakini jiepushe pia maeneo yenye vilevi na yote hatarishi. Click to expand... Mungu mwenyew amewezesha uwepo wa pombe kuwepo!! Pia kaahidi huko peponi kutakuwa mito unayotiririka pombe daily.
W wangatala JF-Expert Member Joined Apr 4, 2022 Posts 3,787 Reaction score 7,973 Aug 16, 2024 #12 Royal Son said: Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe Shukran Click to expand... Ulipo Anza kunywa,ulishawishiwa au uliamua mwenyewe kunywa?
Royal Son said: Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe Shukran Click to expand... Ulipo Anza kunywa,ulishawishiwa au uliamua mwenyewe kunywa?
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 11,389 Reaction score 24,543 Aug 16, 2024 #13 Jinsi ulivyoamua kuanza kunywa ndo utakavyoamua kuacha. Attachments Screenshot_20240816-014550_1.jpg 76.3 KB · Views: 20
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,287 Aug 16, 2024 #14 Last months kule Sumbawanga jamaa 3 walikufa baada ya mganga kutengeneza dawa ili waache pombe... Be careful bro
Last months kule Sumbawanga jamaa 3 walikufa baada ya mganga kutengeneza dawa ili waache pombe... Be careful bro
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,377 Reaction score 80,235 Aug 16, 2024 #15 Sizinga said: Last months kule Sumbawanga jamaa 3 walikufa baada ya mganga kutengeneza dawa ili waache pombe... Be careful bro Click to expand... Naunga mkono hoja
Sizinga said: Last months kule Sumbawanga jamaa 3 walikufa baada ya mganga kutengeneza dawa ili waache pombe... Be careful bro Click to expand... Naunga mkono hoja
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,383 Reaction score 130,949 Aug 16, 2024 #16 Sizinga said: ILast months kule Sumbawanga jamaa 3 walikufa baada ya mganga kutengeneza dawa ili waache pombe... Be careful bro Click to expand... Ila siwaliacha pombe? Au bado wanakunywa?
Sizinga said: ILast months kule Sumbawanga jamaa 3 walikufa baada ya mganga kutengeneza dawa ili waache pombe... Be careful bro Click to expand... Ila siwaliacha pombe? Au bado wanakunywa?
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,920 Aug 16, 2024 #17 Acha tu....na zilivyochungu....mbona unaacha kirahisi tu
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 5,948 Reaction score 22,275 Aug 16, 2024 #18 min -me said: Ila siwaliacha pombe? Au bado waanakunywa? Click to expand... Dhamira ilitimia
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,383 Reaction score 130,949 Aug 16, 2024 #19 To yeye said: Acha tu....na zilivyochungu....mbona unaacha kirahisi tu Click to expand... Pombe ni chungu? Ndio nasikia leo kwako🙄
To yeye said: Acha tu....na zilivyochungu....mbona unaacha kirahisi tu Click to expand... Pombe ni chungu? Ndio nasikia leo kwako🙄
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,920 Aug 16, 2024 #20 min -me said: Pombe ni chungu? Ndio nasikia leo kwako🙄 Click to expand... Mi siziwezi Bora wine