simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,881
ama kweli pombe sio chaiWewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Na haya ndiyo matokeo ya kuendeshwa na mtu mmoja akijifanya kuendesha nchi kama familia yake.Soko la hisa limeshuka toka Billion 33 mpaka 3
Acha kutuletea kauli zako za kibashite.wewe ni mpuuzi
kifo hakipigi hodiSoko la hisa limeshuka toka Billion 33 mpaka 3
hela zote kapewa bashite ajisafishe
Hii taarifa ya IMF inapatikana mkuu?Kifupi tunapoelekea siko kabisa. IMF wamesha itaadharisha serikali ifikapo juni - julai mwaka huu hali ya kiuchumi nchini inaweza kuwa mbaya sana endapo hatua za awali hazitachukuliwa.
Tatizo Mkuu ni huyu mtu mmoja ambaye kawajaza woga watendaji wake kiasi cha kushindwa kumwambia kwamba anakoipeleka nchi siko. Hivi baraza lote la Mawaziri likiamua kumvaa huyu dikteta uchwara kwamba nchi inayumba awasikilize washauri wake na aachane na udikteta atafukuza wangapi!? Hivi wastaafu Mawaziri Wakuu na Marais wakijipanga kwenda kuongea naye Ikulu kuhusu nchi kwenda mrama atawafanya nini!?
Kwanini mtu mmoja aachiwe kuiyumbusha nchi kiasi hiki na wale walio karibu yake waamue kukaa kimya kwa kumuogopa!?
IMF katika taarifa yake kuhusu TZ inasema by July mwaka huu most likely Nchi hii itakuwa imefilisika rasmi.
Nasema tena tatizo hapa ni Ngosha anaendekeza one man show, kila kitu ni yeye na hashauriki. Viongozi wote kuanzia Chief secretary , PM, mawaziri, wakurugenzi wa wizara, hawana maamuzi mpaka Ngosha atoe directives. Hakuna kitu kama hii iliwahi fanikiwa kokote duniani.
Kuna swali la kujiuliza hapa who is his "Mastermind"? ; Je ni Bashite , Kagame au wote? Au nani? Lazima kuna watu atakuwa anawaamini Kwa ushauri. Tukiwajua tutakuwa tumekata mzizi wa fitina. Maana tumeambiwa hata ushauri wa viongozi wastaaf haupokei.
Duuuh....we jamaa acha kamba mkuu.IMF katika taarifa yake kuhusu TZ inasema by July mwaka huu most likely Nchi hii itakuwa imefilisika rasmi.
Nasema tena tatizo hapa ni Ngosha anaendekeza one man show, kila kitu ni yeye na hashauriki. Viongozi wote kuanzia Chief secretary , PM, mawaziri, wakurugenzi wa wizara, hawana maamuzi mpaka Ngosha atoe directives. Hakuna kitu kama hii iliwahi fanikiwa kokote duniani.
Kuna swali la kujiuliza hapa who is his "Mastermind"? ; Je ni Bashite , Kagame au wote? Au nani? Lazima kuna watu atakuwa anawaamini Kwa ushauri. Tukiwajua tutakuwa tumekata mzizi wa fitina. Maana tumeambiwa hata ushauri wa viongozi wastaaf haupokei.
Kwanini umtishie mtu? Wewe fanya kazi uliyotumwa tu wala usimpige mkwara wa kitoto uwo [emoji15] [emoji1]Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Aisee, akili zako mgando. Mko humu kutisha watu ili wasitioe hisia zao kwa kuwa malipwa kwa kutetea ujinga, pole sana. Usijiangalie wewe, angalia kizazi kijacho, kitaishi vipi?Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
nimekufuata tena huku. Mbona hule ushahidi ujawekaUmelogwa wewe bure kabisa.