Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Ndugu nimekujibu vzr nikijua kuwa unafahamu issue za msingi.
Ni kwamba Asasi chini ya Serikali zinapata mafungu yake ya budget kugharamia mambo kadhaa ikiwemo kulipia Umeme,Maji, Siuchumikadhalika. Kinachotokea ni kwamba fedha walizopewa kwa ajili ya Maji au Umeme au Simu (Ttcl) zinatumika kwa kazi nyingine na kuacha madeni yanalimbikizana. Sasa JPM ndio kaamuru kama kuna Idara 6a serikali hailipii Umeme ikatiwe kwa sababu wamekuwa wanapewa fedha wanatumia wanavyoona wao.
Kama utakumbuka Mkuu wa Majeshi juzi ametangaza kulipa tsh.billion moja kupunguza kutoka billion tatu wanazodaiwa lakini fedha zote hizo wala hawakuomba serikalini kwa sababu wamekuwa wanapewa kila mwaka wanatumia wanavyotaka.
Sasa Jeshi kukatiwa Umeme kwa kushindwa kulipia Umeme wakati fungu walishapewa sio kipimo cha mdororo wa uchumi. Ni umakini wa Tanesco na serikali.
 
Bro unaweza kutoa pesa kutoka mfuko wako wa kushoto and then unaweka mfuko wa kulia. Malipo yote ya wadaiwa sugu yanatoka hazina na yanapelekwa Tanesco na Tanesco wanapeleka hazina. Tatizo lililopo ni kuwa baada ya mikataba mibovu iliyorithi serikali ya awamu ya tano Tanesco inanunua umeme kwa bei kubwa and then inauza umeme huo kwa bei nafuu kwahiyo Tanesco inaendeshwa kwa hasara, inabidi serikali itoe fedha kutoka hazina kufidia hiyo hasara, nakupa mfano Kenya Power and Lighting ya Kenya inaendeshwa kwa faida kiasi ambacho imeingia katika soko la hisa huko Nairobi na wananchi walinunua hisa hizo haraka sana.
 
Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga

We nani??? Mbweha kunuka tu wewe huna lolote na umtishi MTU. Kama mada inakuboa si heri uipotezee??? Na si kuingia JF kutisha watu wazima mda wote
 
Malizia kuwa h
Kifupi tunapoelekea siko kabisa. IMF wamesha itaadharisha serikali ifikapo juni - julai mwaka huu hali ya kiuchumi nchini inaweza kuwa mbaya sana endapo hatua za awali hazitachukuliwa.
I ya uchumi wa nchi yetu utakuw kama Burundi au Zimbabwe wamesema.... Haki ata mchozi unanilenga
 
Watu wamesahau kua nchi ilichukuliwa wakat ikiwa inaelekeaa kuzama... asee kwel watanzania ni wasahaulifu... watu wamesahau kipindi kile mkwere anamalizia hazina kulikua holaa, hata mzee wangu mafao yake alikua anapigwa kalenda tu.. Kisa nssf pesa zimekombwa zote.... saivi mnakuja mlaumu Pombe... daah ila hii nchi ni uozo tu.. tutafika tu lakini
 

Habu acheni UONGO
humuhumu mlisema njaa njaaa watu wankufa
hakuna mvua hakuna chakula kwenye magodown
MSUKUMA kaomaa, mpaka kimya
mvua zinanyesha mpaka mafuriko Dar na kwingineko
sasa mwezi wa June ufike tuone kufilisika huko kwa nchi
 
nauchukia sana umaskini lakini chaajabu nchi yangu ndio ipo kufilisika kabisa.
 
we ngiri nani kakuambia idadi ya watu ndio inayochangia kuwa na huduma nzuri? nchi ngapi zina watu wengi kuliko sisi na tunaona huduma za kijamii zikitolewa vizuri.
Ngiri wazazi wako walioshimndwa kukulea. Kama unakipato kikubwa na wategemezi wachache kwa nini usimudu kuwagharamia kila mahitaji? Kinyume chake huwezi kama wategemezi wengi. Nchi ya watu milioni 50 walipa kodi miioni 2.5 halafu kima analopoka kila kitu serikali itoe bure. Unalaana
 
Kifupi tunapoelekea siko kabisa. IMF wamesha itaadharisha serikali ifikapo juni - julai mwaka huu hali ya kiuchumi nchini inaweza kuwa mbaya sana endapo hatua za awali hazitachukuliwa.
Ukiangalia kushoto na kulia unajiuliza wa kuchukua hizo hata ni nani!?umuoni!!namuona bashite kulia kushoto namuona kilevi..!!
 
Kwani Tatizo ni Magufuli au tatizo kakuta nchi aina pesa kwa iyo mnataka aitoe pesa wapi?
 
Uchumi wa Kenya upo vizuri sana kwa East Africa [emoji288]. Lakini Rwanda kiuchumi tunawazidi
 
Uchumi wa Rwanda hauyumbi kama huu wa kwetu na sekta zao mbali mbali zinafanya vizuri zaidi ya sekta zetu pamoja na wao kutokuwa na rasilimali nyingi kama za Tanzania.

Uchumi wa Kenya upo vizuri sana kwa East Africa [emoji288]. Lakini Rwanda kiuchumi tunawazidi
 
Hizo ni baadhi tu ya sekta zilizoathirika kwenye utawala huu dhalimu....hapo hujazungumzia mzigo wa madeni ya watumishi wa umma yaliyotengenezwa kwa makusudi na utawala huu dhalim...tena naskia wana mkakati wa kukwepa kulipa stahiki za watumishi wa umma walizokalia....
 
Kuna wapuuzi wanasema anainyoosha nchi
 
hakuna ongezeko la Budget zaidi ya ongezeko la anguko la dhamani ya sarafu yetu. Yaani ukichukua 29.9Trillion ukagawa kwa exchange rate ya mwaka jana kisha ukachukua 32.8Trillion ukagawa na rate ya sasa unapata almost similar figure in USD. Maana yake hakuna ongezeko zaidi ya inflation and devaluation of currency.
 
kila unapogeuka pako ovyo tu... acha meli izame nahodha si kaamua bhana.. wenye nguvu wataogelea.. ila shughuli kwa wanyonge sasa!!!
 

Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa ww papasi. kama wingi ndio kushindwa kutoa huduma basi Nigeria ingekuwa nyuma ya Tz kimaendeleo.
 

Kijana acha lugha. Za kibavicha hivi mbona mnashindwa kumhoji muuza ngada wenu mbowe na sacoss yake kuhusu fedha za ruzuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…