Ngoja tuone.Kwa mara ya mwisho volcano ililipuka mwaka 2007 na kusababisha madhara kidogo kwa mifugo kuuawa na maeneo ya malisho kuharibiwa. Hivi sasa wanajiolojia wa kimataifa wanafuatilia.
Ni vema serikali ikawashauri wananchi wanaoishi karibu na maeneo ya mlima huo kuhamia mbali kwa muda!
Ingependeza kama utafika eneo la tukio kwani ni sehemu ya utalii wa ndani!
Hakikisha unakuja na kifaa cha kufunika pua na mdomo ili kujikinga na hewa chafu!
Hiyo lava ndiyo ina nguvu zaidi.Kunywa viagra!
Mbona huwa nakunywa.Lava ina acid kali sana utumbo utababuka!
Ukilipuka niletee uji wake ninywe (lava)
Wapo watakaoilaumu serikaliwakiambiwa wahame wataanza sema wanaonewa
HakikaWapo watakaoilaumu serikali
hahahaaa! uamuzi wa kwenda kuziba tundu la volcanoSerikali inapaswa kuchukua uamuzi mgumu!