Kuna dalili moja tu E. Lowassa kuhamia Upinzani

Kuna dalili moja tu E. Lowassa kuhamia Upinzani

Mpeni kaizari yaliyo ya kaizari na mpeni Mungu yaliyo ya Mungu.
 
Hatutafuta Raisi wa Kanisa au Msikiti!

Ikulu ni kazi tu siyo sehemu ya Ibada.Tunataka mtu msafi na asiye fisadi na anaytetamka waziwazi na kwa vitendo kuwa Ufisadi kwangu mwiko.

ambapo hilo haliwezekaniki ndani CCM/ labda nje ya chama hicho
 
Tunataka Rais ambaye anaweza kutamka neno'Ufisadi kwangu mwiko' nasisi Wa pembeni tukimtazama usoni tukubari,tunataka Rais ambaye anachukia udini na ukabira na tukimtizama usoni tukubari kwamba kweli jamaa analosema linatoka moyoni,lakini pia tunataka Rais anayeumia umasikini wetu wakati Taifa limebarikiwa kila kitu.Lakini je huyu Lowasa hayo anaweza kuyatamka tukakubari?

pia naongeza hapo kwa wale ambao akili zao inawaza dini kwamba hatumchagui mtu kwa sabab ya dini yake wala kabila lake kwa mana tutampata wap mtu asiye na dini au kabila? hatutaki ukabila na udini sio kabila na dini hilo lazima ieleweke
 
Hii nchi laana itaendelea kuitafuna....Fisadi, mtoa rushwa, aliejilimbikizia mali hadi kumjengea mtoto nyumba marekani...!! Eti leo anafaa kuwa raisi!! Fisadi!!"
 
Mtu anaemsaport Lowassa nahisi kwa ufisadi unaoendelea ktk nchi hii huyo mtu nae anachukulia poa. Watanzania mbona tunakuwa wajinga kila kukicha ccm wameshachoka inatakiwa tuwapige chini mwaka huu tubadili upepo wa huongoz
 
Lowasa hafai maana uyu jama anavyotumia nguvu na pesa nyingi kushawishi watu wamkubali na akipita atajilipa sana
Na nadhan tutarud kwenye kodi ya kichwa kama enzi zilizopita.
Na namuona kama ana element kama za mkurunziza kwamba akipata uwo uraisi wenyewe hatokubali kutoka.

Inawezekana akawa nazo maana kaangaika sana! Fisi akiwa na hamu ya kula mzoga habakishi hata mfupa!
 
ccm wanajua kuwa dini ya mgombea wa ccm itaamua kwa kiasi kikubwa ushindi wao. Chadema watamsimamisha mkristo, ina maana kwamba ccm wakimsimamisha mkristo kama Lowassa kura za chadema zitagawanywa sana na wana uhakika wa kushinda.

wakimsimamisha muisilamu wanajiweka kwenye hatari ya kukosa kura za wakristo

Chadema kama wanataka wapige bingo , basi wamsimamishe ustaadhi ikiwa ccm watamsimisha mkristo, ushindi ni hakika

Peleka mbali huko habari ya UKRISTO na UISLAM. "Hatumchagui mtu kwa sababu ya dini yake. Hatumchagui mtu kwa sababu ya UISLAM wake wala hatumchagui mtu kwa Sababu ya UKRISTO wake" HAYATI BABA WA TAIFA J.K NYERERE. Habri ya kumchagua mtu kwa sababu ya dini yake ni hatari sana kwa mustabali wa usalama wa nchi yetu. Kwani kiongozi akiwa wa dini fulani ndiye ataleta maendeleo?. Maendeleo is dini independent! Ni aibu sana kwa mtu ambaye umekwenda shule na hata kama hujaenda shule kusema kwamba eti dini fulani itamchagua fulana na ile dini nyingine itamchagua fulani. Mbona huongelei dini nyingine zilizosalia? Mbona huongelei wasio na dini? Iweje dini ionekane muhimu kwenye URAIS tu? Mbona kwenye udiwani, ubunge na serikali za mitaa hili suala la udini halipo? YOU STU-PID MAN!
 
Go back to class again.... hujui kitu.. then make a clear understanding of LETTERS
'L & R' wapi utumie sahihi ktk lugha ya kiswahili...!!!

Kisha urudi JF ufanye quoting ya maneno ya Mwl. Nyerere.., Nyerere hakuwa malaika... himself kasema hilo mara kadhaa...!!

Lowassa ndio KILA KITU kwa sasa...

Hakuna wa kushindana nae..., CCM itakufa mara moja, ikiwa tu Lowassa atahamia UKAWA .., najua wengi bado mnaota mchana...Wananchi WANAJUA MAMBO MENGI SANA SIKU HIZI, KWA UWAZI, fuata mtu wa mtaani kabisa, akuchambulie KUHUSU ESCROW, utajua nasema nn, kuhusu wanyama kwenda nje...kuhusu Katiba ilivyo geuzwa geuzwa utashangaa... hivyo UMANI KUBWA KWA WANANCHI WENGIII TZ kwa CCM sasa hv imebakia kwa Lowassa tu... huu ndio ukweli..

Ikiwa Lowassa ata ondoka kwenda UKAWA, na niweke wazi UKAWA WAKO WILLING 1000% kumpokea, basi CCM ndio mwisho wake kama KANU...!!!

CCM hawana jinsi hv sasa, either wampitishe Lowassa au CCM ife...!!! ukikataa utakuwa KIPOFU WA SIASA ZA UKWELI hv sasa Tz...!!!

Tunataka Rais ambaye anaweza kutamka neno'Ufisadi kwangu mwiko' nasisi Wa pembeni tukimtazama usoni tukubari,tunataka Rais ambaye anachukia udini na ukabira na tukimtizama usoni tukubari kwamba kweli jamaa analosema linatoka moyoni,lakini pia tunataka Rais anayeumia umasikini wetu wakati Taifa limebarikiwa kila kitu.Lakini je huyu Lowasa hayo anaweza kuyatamka tukakubari?
 
Hivi Lowassa na Kikwete nani fisadi zaidi?
 
Hivi ni kipi kinamfanya Lowassa aonekane kuwa ni kiongozi bora?
Ukiondoa zile pesa anazowahonga watu ili wampigie debe, hakuna mtu yeyote ambaye anaweza akasimama akasema Lowassa ni kiongozi bora, nasema hakuna.
 
Go back to class again.... hujui kitu.. then make a clear understanding of LETTERS
'L & R' wapi utumie sahihi ktk lugha ya kiswahili...!!!

Kisha urudi JF ufanye quoting ya maneno ya Mwl. Nyerere.., Nyerere hakuwa malaika... himself kasema hilo mara kadhaa...!!

Lowassa ndio KILA KITU kwa sasa...

Hakuna wa kushindana nae..., CCM itakufa mara moja, ikiwa tu Lowassa atahamia UKAWA .., najua wengi bado mnaota mchana...Wananchi WANAJUA MAMBO MENGI SANA SIKU HIZI, KWA UWAZI, fuata mtu wa mtaani kabisa, akuchambulie KUHUSU ESCROW, utajua nasema nn, kuhusu wanyama kwenda nje...kuhusu Katiba ilivyo geuzwa geuzwa utashangaa... hivyo UMANI KUBWA KWA WANANCHI WENGIII TZ kwa CCM sasa hv imebakia kwa Lowassa tu... huu ndio ukweli..

Ikiwa Lowassa ata ondoka kwenda UKAWA, na niweke wazi UKAWA WAKO WILLING 1000% kumpokea, basi CCM ndio mwisho wake kama KANU...!!!

CCM hawana jinsi hv sasa, either wampitishe Lowassa au CCM ife...!!! ukikataa utakuwa KIPOFU WA SIASA ZA UKWELI hv sasa Tz...!!!

That's why I called you "STU-PID" Cause no matter how hard you are being taught still you don't seem to understand the very simple lesson! These are characteristics of a Stu-pid person like you!
 
That's why I called you "STU-PID" Cause no matter how hard you are being taught still you don't seem to understand the very simple lesson! These are characteristics of a Stu-pid person like you!

👌👌☝ U and ur mama, are harlot & stupid..!!

Ur an @$$ hole, gapped...!!!

Lowassa ndio kila kitu...stupi.d mama yako na ww..fck u...!!!!

Ur devil, doing evil, scented mouth, head, body, nasty, swine ww...!!!

Lowassa is ALL in ALL for now, go to hell is u won't dare to see him being sworn in soon...!!!

#nyoko chizi ww..!!
 
Nadhani CCM wamekuwa wakifanya uchunguzi wa kutosha kuhusu mgombea wake.
Mawazo yenu yaweza kuwa yanewasaidia au kuwachanganya but watatoka na mtu. Hili la Lowasa hakika limechosha ni bora kusubiri.
 
Back
Top Bottom