mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Lowassa hana mbadala watake wasitake iwe ccm au ukawa au chama kinachoitwa bua lazima atinge magogoniMsuguano huu hauhitaji miwani kuona. Utaona tu hata kama una macho ya kichina.
Wapambe, wananchi na wapenda mabadiliko muonekano wa wazi ni Mh huyu kugombea popote pale ili mradi anagombea.
Hii dalili ya kubadili ratiba ni ishara iliyomlenga Bwana Lowasa
. Lazima ieleweke ndan ya ccm kuna wapenda mabadiliko wanaamini yanaweza kutokea ndani ya ccm
Kimsingi Mwandosya hawez tena. Salim A. Salim anaona jins atakavyochafuka tens hatakubali. Judge hawezi hapa namaanisha bwana Ramadhani.
Ule msemo wa baba Nyerere utadhihiri Leo. Ikulu ni mahali patakatifu ukiingia kichw kichw utaaibika tu
ccm wanajua kuwa dini ya mgombea wa ccm itaamua kwa kiasi kikubwa ushindi wao. Chadema watamsimamisha mkristo, ina maana kwamba ccm wakimsimamisha mkristo kama Lowassa kura za chadema zitagawanywa sana na wana uhakika wa kushinda.
wakimsimamisha muisilamu wanajiweka kwenye hatari ya kukosa kura za wakristo
Chadema kama wanataka wapige bingo, basi wamsimamishe ustaadhi ikiwa ccm watamsimisha mkristo, ushindi ni hakika
[h=3]About Hon.Edward Lowassa | 4U Movement[/h][h=3]UTUMISHI[/h] Utumishi uliotukuka aliacha ofisi ya Waziri Mkuu dar na kwenda kuzunguka nchi nzima mwaka 2006 kuhakikisha hamna mtanzania anayekufa kwa baa kubwa la njaa kipindi kile
.
[h=3]UWAJIBIKAJI[/h] Kusimamia UWAJIBIKAJI kwa watendaji wote mawilayani na kuondokana na utamaduni wa business as usual kwenye utendaji na ripoti za watendaji na kusimamia uwajibikaji ipasavyo.
[h=3]UZALENDO.[/h] Amejenga UMOJA wa kitaifa, kwa kuhakikisha huduma muhimu zinapelekwa sawa sawa vijijini. Kama shule ya sekondari kwenye kila kata na mpango wa zahanati kila kata, ambao uliishia katikati, na pia kuheshimu imani za madhehebu tofauti na kushiriki nao shughuli za maendeleo
[h=3]UMOJA[/h] Amesimamia UZALENDO wa kweli, pale alipokuwa Waziri wa Maji kwa kudharau mkataba dhalimu wa kikoloni na kusimamia mradi wa maji kutoa ziwa victoria dhidi ya kelele nyingi za nchi ya misri na mataifa ya nje. Fedha za walipa kodi Tanzania zilitumika kujenga mradi.
Acheni kudanganyana, LOWASSA ndiye mgombea urais ajaye kupitia CCM, na ndiye RAIS wa awamu ijayo! mpaka sasa CCM ndio chama pekee kinachoweza kutupatia RAIS bora wa awamu ifuatayo!
Msuguano huu hauhitaji miwani kuona. Utaona tu hata kama una macho ya kichina.
Wapambe, wananchi na wapenda mabadiliko muonekano wa wazi ni Mh huyu kugombea popote pale ili mradi anagombea.
Hii dalili ya kubadili ratiba ni ishara iliyomlenga Bwana Lowasa
. Lazima ieleweke ndan ya ccm kuna wapenda mabadiliko wanaamini yanaweza kutokea ndani ya ccm
Kimsingi Mwandosya hawez tena. Salim A. Salim anaona jins atakavyochafuka tens hatakubali. Judge hawezi hapa namaanisha bwana Ramadhani.
Ule msemo wa baba Nyerere utadhihiri Leo. Ikulu ni mahali patakatifu ukiingia kichw kichw utaaibika tu
Tanzania tumekosa kitu kimoja tuu, tungekuwa Ulaya ya africa. Elimu ni Tatizo kubwa tu kwa wananchi, wengi wetu tukiwa vijiweni tunashindwa kujenga hoja mbele ya kundi kubwa la vijana wanaoweza kuichambua political science, hili linawapelekea waone mkombozi wao kuwa yule wanaeamini.
Nionavyo mimi, Nape anahangaika kumzuia Lowassa, huyu jamaa ni kama maji ya mafuriko utashindwa tu. Lowasa sijui kwa nini amekubalika haraka sana. Lowassa ameamua tu kutumia busara na utu uzima wake. Lakini kama alivyofanya zzk Lowassa angeweza pia. Lakin ukubwa dawa. Sasa watanzania ambao wamekosa elimu rasmi ya chuo kikuu wao chuo kikuu chao ni street, mara nying wengi ambao hawakubahatika wanatumia street university.
Kiukweli wameelimika na hawakubali. Hapa utawataja wapiga debe, machinga, mama ntilie, Bodaboda wanavyuo nk. Huyu ni LOWASA na Mbowe na Slaa. Kwa sasa siasa za Tanzania ni LOWASA NA CHADEMA. UTAKE USIKATAKE.
Kwingineko ndani ya CCM kuna wapenda mabadiliko, na hapa mtoe nape, Kwa ccm shida iko hapa kuzuia mabadiliko, mabadiliko ya kumuweka mgombea jinsia K yanakaribia kupitwa na wakati, kwa sababu hakuna wakuhimili mikiki ya siasa na hapa ukumbuke ni pamoja na siasa za kimagharibi.
Sasa utashangaa mwananchi asiejua chuo kikuu anakuchambulia siasa. Na anaamini maneno yake.
Ukawa ndo habari ya mujini
Acheni kudanganyana, LOWASSA ndiye mgombea urais ajaye kupitia CCM, na ndiye RAIS wa awamu ijayo! mpaka sasa CCM ndio chama pekee kinachoweza kutupatia RAIS bora wa awamu ifuatayo!
Hatutaki uswahili tena katika kuongoza nchi inatosha Lowassa anatosha padri pia anaweza ila hana busara
CCM wakimpitisha mtu tofauti na Lowassa tunafanya sherehe mapema. Wakimpitisha Lowassa mwenyewe tunafanya sherehe mapema zaidi