Kuna dalili kweli pinda kutema cheche

Kuna dalili kweli pinda kutema cheche

Y2k

Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
77
Reaction score
27
Jamani wana JF kwa tunavyoona kuna dalili kweli huyu ndugu Pinda kutema cheche kwani pakasasa sioni kinachoendelea
minaona ni zilezile hadithi za sungura na fisi. Kama kuna anayefaham lolote ebu atujuze
 
Kwamujibu wa Radio ya Taifa ni kwamba PM atatoa hotuba ya kufunga kikao cha bunge leo mida ya alasiri, nadhan kama kuna lolote tutapata maelezo wakati huo.
 
Asante mkuu kwa kunifahamisha
 
Kwamujibu wa Radio ya Taifa ni kwamba PM atatoa hotuba ya kufunga kikao cha bunge leo mida ya alasiri, nadhan kama kuna lolote tutapata maelezo wakati huo.

Ngoja nisubiri japokua sijui alasiri ndio saa ngapi
 
Hakuna jipya kwasababu kurugenzi yamawasiliano Ikulu imekanusha habari kwamba Rais ameonana nakusiscuss hii issue na PM.

Hakuna jipya.
 
yale yale ya Pinda...mm nadhani..mm naona...tunalifanyia kazi..of course tuko kwenye mchakato..tupeni muda!
very soon!! ...etc etc
 
Mkuu, alasiri ni milango ya saa 9 hivi.. anza kutega masikio kuanzia mida hiyo
 
Toto la mkulia haklina lolote lipo kama boya tu pale
 
Alisema jumatatu alipobanwa na waandishi wa habari,
pamoja na jazba alizokuwa nazo.
 
wakutoka kwanza ni Jk na Pinda, wengine wote ni uozo ulioletwa nao hao. Kibendera ni JK atolewe kwa nguvu.
 
Aaaah jamani yani pamoja na vumbi lote hili lakuwatema baadhi ya mawaziri yule bingwa wakulala
anauchapa kama kawaida usingizi sasa naanza kuamini kuwa huu ni upepo utapita maana hajashtuka hata kidogo
wasiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...r
 
Joh:3:16: For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

Joh:15:7: If ye abide in me, and my words abide in you, ye shall ask what ye will, and it shall be done unto you.
 
Jamani wana JF kwa tunavyoona kuna dalili kweli huyu ndugu Pinda kutema cheche kwani pakasasa sioni kinachoendelea
minaona ni zilezile hadithi za sungura na fisi. Kama kuna anayefaham lolote ebu atujuze

Alijisahau kwamba kabla hajaahidi kitu chochote inabidi amkosalti JK maana huwa wanatofautiana sana, sidhani JK kama yupo tayari kuonna Mkulo anajiuzuru kirahisirahisi hivyo wakati mambo mengi yeye ndiyo humtuma
 
Back
Top Bottom