Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
Watu wanaleta corruption. Watu wengine hata hawajui kwamba kuna Uchaguzi.
Wanataka wafanye mambo yao ya kijinga.
Mimi siyo mtabiri. Lakini nafikiria watu wanapaswa kujihadhari.
Sitaki kuwa muongo na kusema,"Bwana ameniambia hawa watu ni wajeuri. Nitafanya jambo ambalo kila mtu atakayesikia sikio lake litasisimka"
Tunasema Serikali ni ya kifisadi.
Basi tupendane,tuache laana,basi ndio tutakuwa na uwezo wa kushindana na mafisadi.
Nadhani huwa wanasema ipo corruption triangle. The base is the corruption of the masses. Mtu mmoja anatekwa,anateswa na watu wasiojulikana. A thousand drunkards are beating their wives every day.
Kwa hiyo kuna base ya triangle ambayo ni corruption of the masses.
Halafu pande mbili za triangle ni corruption of the politicians na corruption ya wafanya biashara.