Kuna computer programmer yoyote humu ndani?

Kuna computer programmer yoyote humu ndani?

Joined
Jan 21, 2015
Posts
11
Reaction score
1
Habari wanajf, nauliza kama kuna computer programmer yoyote humu, ili tuweze kuzungumza mawili matatu? mimi sio computer programmer bali bado nipo katika hatua za awali kabisa kufikia hilo, kwa hiyo nikaona sio mbaya niongee na wakubwa naweza kupata lolote litakalo nisaidia ili nami nifike huko, asante.
 
ok, naamini watanisikia, kama mtu yoyote yupo github ama stackoverflow naomba anitumie jina lake analotumia humo niweze kujifunza na mimi wanavyofanya projects na wanavyouliza maswali.
 
github sio sehemu ya kuuliza maswali,,, github ni source code repository hutumika na watu wanaoshirikiana kufanya project flani! stackoverflow ina user manual document jaribu kuisoma
 
github sio sehemu ya kuuliza maswali,,, github ni source code repository hutumika na watu wanaoshirikiana kufanya project flani! stackoverflow ina user manual document jaribu kuisoma

forking, pull requests and issues are the core of github and open source world. Those features i think are really helpful for coders to learn from one another. For example suppose you have a project there, i can fork it and play with it right away, i can request features by opening issues, i can fix bugs and propose changes in your original source code by make pull requests, i can also comment, ask questions or even asking for an explanation regarding to your project by opening issues. There is a lot more you can do Bro Geek jo in Github than most people realize, however i agree stackoverflow is great in asking and getting answers from fellow coders
 
Back
Top Bottom