Kuna clip inayodaiwa kuvuja na kama hiyo clip ni ya kweli, basi anguko la hawa watu haliko mbali na huenda wanahujumiana(hawako pamoja)

Sio kila kitu cha kuweka vingine ni vitu sensitive hasa ukizingatia mvutano uliopo juu ya hii issue.
Lissu njaa inamuua huko America na bado kodi ya Nyumba inamsubiri huko Belgium. Atalala kwenye theluji. Njaa haina ukamanda
 
Katika hiyo audio clip,kuna kiongozi yeyote kutoka serikalini ambaye sauti yake inasikika?ama sauti inayosikika katika hiyo clip,imetambuliwa ni kama ya kiongozi gani serikarilini?kwamaana mtu yeyote bado anaweza kufanya kitu kama hiko kwa sababu anazozijua yeye!!!
Exactly mkuu. Hiyo clip hata Kaka Halimasi Mdee na wahuni wenzake wanaweza kuitengeneza na kurusha katika mitandao ya kijamii ili kuzua taharuki na sintofahamu katika Taifa letu pendwa. Habari za ziara ya Mhaini Tundu huko ughaibuni zinaisha ladha wanatafuta Kiki mpya.
 
kuna watu wanapitishaga mikataba ya gesi, madini na mafuta kwa hati ya dharura Leo wanajiona ndio wazalendo kweli hatari kweli kweli

kitochi
 
Rudia kusoma sijasema ameisaliti nchi bali nimesema kama kweli kaisaliti.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama ni kweli ; Mkuu kwa kusema kwako tu ana Stahili Adhabu aliyo ipata tayari unakuwa ume Hukumu moja kwa moja.Una kuwa ume ungana na Serikali kuwaua Raia wake ,Sababu nikikuuliza Mh Lissu amefanya nini ambacho kwa Tafsiri ya Usaliti ana stahili unacho shadidia?..
 
Nikiwa nipita mitandaoni na kuingia katila akaunti ya twitter ya Mdee,nimekuta ame-post clip ambayo ukiisikiliza na kama ni ya kweli,inatuthibutishia ni kina nani walimshambulia kamanda wetu na pia inaonyesha bado wana nia hiyo.

Najiuliza hiyo clip ni kweli imevuja au wameivujisha makusudi kwa lengo la kumtisha tu au wameivujisha kwa malengo ya kutoa siri (kuhujumiana)?

Mhusuka hakutaja mtu kwa jina ila anaongelea anachostahili kufanyiwa wanaemuita msaliti hata baada ya kusalimika huku wakigusia ziara yake huko nje.

Mhusika anaongelea habari ya kamanda kuhojiwa huko aliko na huku akisema wazi kuwa katika vita ya uchumi kama kuna mtu anawakwamisha basi mnatanguliza yeye.

In short,ni clip fupi lakini inayotupa picha ya kina nani walihusika na Mdee amewa-tag wenye mamlaka katika hiyo tweet yake.

Nashauri clip ichunguzwe uhalisia wake na wahusika wahojiwe japo hawajataja jina la mtu vinginevyo msilaumu watu kwa kuwanyooshea kidole.

Nimalizie kwa kusema, iwapo hili jambo wataendelea kuli-handle kwa style hii, basi wajue linaweza kupelekea anguko lao wakati wowote.
Ukiwa msaliti vitani dawa yako Ni moja unauwawa tu hakuna mjadala
 
Ha ha ha eti kuna clip. Hivi hiyo clip ingelikuwepo mngeliacha kuitoa nyie vichaa, tunawajua kwa sasa mnatafuta kichaka cha kujifichia baada ya mwanasheria kanjanja kulia njaa kali.
 
Ukiwa msaliti vitani dawa yako Ni moja unauwawa tu hakuna mjadala
Na wewe unayetumwa kuua watu unawaita wasaliti, siku moja utauawa kama ambavyo waliompiga risasi TAL wanatafutwa kuuawa ili kufuta ushahidi. Imekuwa hivyo miaka nenda rudi. Ukitumwa kuua tambua kuwa mambo yakiharibika na wewe utauawa. Kilangila.
 
CHADEMA ni Kama maisha ya Watu washirikina hawaishagi kutest uchawi mahali palipo Shwari mtakaa one day yes!! siku zinakwenda miaka 65 chama cha ukombozi kinashika hatamu
 
Ukiwa msaliti vitani dawa yako Ni moja unauwawa tu hakuna mjadala

Sawa Muuaji ,japo hatujaona Usaliti wa Lissu kwa Nchi yake ...

Tuwekee hata mmoja ,kaisaliti vipi Nchi yake na usi shabikie Mauaji kuna Siku yatakuwa koridoni kwako na uta yakumbuka Maneno yako Mkuu.
 
Na wewe unayetumwa kuua watu unawaita wasaliti, siku moja utauawa kama ambavyo waliompiga risasi TAL wanatafutwa kuuawa ili kufuta ushahidi. Imekuwa hivyo miaka nenda rudi. Ukitumwa kuua tambua kuwa mambo yakiharibika na wewe utauawa. Kilangila.

Hajui Shughuli ya kushirikiana na Shatani ilivyo mbaya ,ipo Siku wata mnywa Supu ...😡
 
Lissu njaa inamuua huko America na bado kodi ya Nyumba inamsubiri huko Belgium. Atalala kwenye theluji. Njaa haina ukamanda
Andika vitu vyenye uhalisia mkuu, otherwise soma tu upite. We mkongwe humu lakini una behave kama njuka.
 
Back
Top Bottom