Kuna clip inayodaiwa kuvuja na kama hiyo clip ni ya kweli, basi anguko la hawa watu haliko mbali na huenda wanahujumiana(hawako pamoja)

Nikiwa nipita mitandaoni na kuingia katila akaunti ya twitter ya Mdee,nimekuta ame-post clip ambayo ukiisikiliza na kama ni ya kweli,inatuthibutishia ni kina nani walimshambulia kamanda wetu na pia inaonyesha bado wana nia hiyo.

Najiuliza hiyo clip ni kweli imevuja au wameivujisha makusudi kwa lengo la kumtisha tu au wameivujisha kwa malengo ya kutoa siri (kuhujumiana)?

Mhusuka hakutaja mtu kwa jina ila anaongelea anachostahili kufanyiwa wanaemuita msaliti hata baada ya kusalimika huku wakigusia ziara yake huko nje.

Mhusika anaongelea habari ya kamanda kuhojiwa huko aliko na huku akisema wazi kuwa katika vita ya uchumi kama kuna mtu anawakwamisha basi mnatanguliza yeye.

In short,ni clip fupi lakini inayotupa picha ya kina nani walihusika na Mdee amewa-tag wenye mamlaka katika hiyo tweet yake.

Nashauri clip ichunguzwe uhalisia wake na wahusika wahojiwe japo hawajataja jina la mtu vinginevyo msilaumu watu kwa kuwanyooshea kidole.

Nimalizie kwa kusema, iwapo hili jambo wataendelea kuli-handle kwa style hii, basi wajue linaweza kupelekea anguko lao wakati wowote.
Upumbavu mtupu.Kwa hiyo hata ile clip ya Mbowe na Wema Sepetu ilikuwa ya kweli ? Kwanini hiyo clip inakuja kipindi hiki Lisu anaombaomba chakula huko nje ?
 
Write your reply...Hiyo clip iko wapinzani vinginevyo kwa mwanamme hafai kuwa navyo
 
Upumbavu mtupu.Kwa hiyo hata ile clip ya Mbowe na Wema Sepetu ilikuwa ya kweli ? Kwanini hiyo clip inakuja kipindi hiki Lisu anaombaomba chakula huko nje ?

Kwa sababu mme umbuka leo mnaikana ili kubatilisha hii ya leo eeh !!!?

Hata Aibu hamna ,kama Mateja vile.
 
Hawa watu wanachoweza kufanya sasa ni vitisho tu kwani wanafahamu vema kuwa dunia yote imeshawajua.

Kama uchumi hukuzwa kwa kuua watu tu wasio na hatia basi Idi Amin angeiacha Uganda ikiwa tajiri Afrika nzima.
Umeongea hoja ya msingi sana......

Kama kutesa na kuua watu ndiyo kigezo cha kupata maendeleo, basi madikteta Mobutu wa Congo na Bokassa wa Afrika ya kati, nchi zao ndiyo zingekuwa matajiri zaidi hapa barani Afrika!
 
Screenshot_20190216-232031.png
 
Nyinyi kweli wajinga, mnataka kutuaminisha hii speech ya Waitara ndiyo inahusika na jaribio ya mauwaji ya Lisuu. Mmekosa pa kushikilia mmebaki mnatapatapa.

Waitara alikuwa kambi yenu rasmi, wakati wa tukio , au mnataka kutuambia waitara leo anavujisha siri zenu za namna viongozi wenu walivyoungana na badhi ya wenzao wa upande wa pili ili kumsimisha TL na juhudi zake.

The consiperancy of the murder attempt on Lissu many are involved including those of his party

Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidini kupandisha maji mawinguni. Mkae mkijua upuuzi wenu utaisha tu hata kama utaisha vibaya.
 
Bladibastadi kama ulitambua kila kitu sio cha kuweka hapa JF ulipata wapi guts za kulifungulia Uzi hapa JF!?
Huna lolote mzandiki mnafiki wewe. Mnatengeza clips na kuzua taharuki. Weka hiyo Clip hapa kila mtu achanganye na zake.
Mtu mzima hovyo kama chupi la Kaboba!
Uhalisia wa wana Lumumba
 
Msaliti kuuliwa ni lazima

Sent using Jamii Forums mobile app

Nadhani kuna umhimu sasa kuweka kumbukumbu za hawa 'wazalendo' wanaowatafuta kuwaua 'wasaliti'.

Hawa 'wazalendo' wanadhani wao hawana damu inayoweza kumwagika kama hiyo wanayoitafuta ya 'wasaliti.'

Kama hii ndio itakuwa njia ya kutishana, basi 'wasaliti' nao wanayohaki ya kujibu mapigo. Hakuna jambo la 'utani' inapohusu uhai wa binaadam wengine.

Mnapoyaandika haya humu ndani ya mitandao mkidhani ndio njia ya kutia hofu na kuwanyamazisha watu, eleweni kwamba mnazidi kuchochea na huo upande wa pili kutafuta njia za kujihami

Unapoandika haya humu na kuondoka ukijisikia vizuri sana kwa mchango wako huo, jua pia kuwa kuna hao unaotafuta kuwaondoa hata kama hawatakujibu hapa, lakini wataelewa maana ya maneno yako, na wao watajiandaa kukusubiri wewe utimize hayo unayoyasema hapa.

'Wazalendo' nao hufa au sio? Haya, kama ndio hivi, twende tu taratibu tutafika huko mnakokutaka tufike. Watu hawatanyamaza.
 
Ukiwa msaliti vitani dawa yako Ni moja unauwawa tu hakuna mjadala

Haya, tumefikia hapa! Kibaka mitaani haki yake ni hiyo hiyo!

Lakini isiwe taabu maadam imekuwa hivyo, litakuwa jambo la nani atamuwahi mwenzie au sio?

Ni nani atakubali kuwa 'msaliti' iwe halali yake kuuwawa, ili hali hata yeye anajijua ni 'mzalendo' kwa nchi yake.
Na kwa vile yeye naye anajua ni 'mzalendo', hao wanaomwekea lebo ya 'usaliti' ni haki yake ya kuwatoa kama wao wanvyojipa haki ya kumtoa yeye.

Huu sasa sio mchezo wa kitoto tena. Lugha hizi na vitendo vilivyoonyeshwa tayari ni ishara tosha ya wapi tunakoelekea.

Katika mjadala huu pekee nimehesabu wanne wenu mlio tayari tuanze safari yetu hii. Nami nawaita 'wazalendo' na 'wasaliti' wote waliomo humu, tuyatambue matakwa yenu haya.
 
Back
Top Bottom