Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,430
- 8,842
Naunga mkono hoja yakoUnawaonea wivu? Unataka uchakatwe wewe?
🤪Unasoma course gani best….Ila una tabu sana Mkuu. Kwa nini uwapangie namna yao ya kuishi..
Wale ni watu wazima kwa kila wanachofanya wanajua faida na hasara zake.
😄Wacha wajamiiane,hiyo unayotaka iingilie kati hentewe mbona inajamiiana sana tu.
LOL🤪Unasoma course gani best….
Nini tena?
Wasomi mbususuWadada wa IFM wanachakatwa aisee, serikali ya awamu ya 6 iingilie kati. Wasomi gani hawa?
Kwenye lodge zangu mkuu.Uneshuhudia wapi tena🤣
Nilikuwa natafuta hii commentKujamiiana ni uhuru binafsi wa watu.
Kwa nini unaingilia uhuru na faragha za watu?
Au ulitaka uchakatwe wewe?