Kuna chuo unaweza soma evening classes bila kubugudhiwa kwa namna yeyote ile?

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
2,198
3,579
Wadau nauliza kama kuna chuo unaweza kusoma kozi za sayansi(engenieering) au elimu ambapo utasoma evening classea bila kuhitajika kabisa muda wa kazi?

maana kuna vyuo vinatoa evening classes lakini utakuta mara unatakiwa kufanya test mchana,mara wakati wa UE wote mnafanya kwa ratiba ya kawaida n.k

Sasa nataka kujua maana kuna watu wapo katika kazi ambazo kumpata hiyo mida ya mchana ni ngumu,pia kuomba ruhusa mara kwa mara haitakiwi na wanahitaji kusoma na ni ngumu kuacha kazi ili usome hasa ukishakuwa na majukumu ya kila siku.

Naombeni majibu jamani.
 
Njoo kiu APA utainjoi
Kwenye mitihan ndo utaisoma namba
 
Back
Top Bottom