Kuna chuo chochote au taasisi naweza kujifunza kijerumani au kifaransa?

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
2,988
9,323
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza . Naweza pata chuo kinachofundisha hizo lugha hapo juu? Natanguliza shukurani
 
Goitha institute, kiko karibu kabisa na Palm Beach, Dsm . Hiii ni taasisi ya kijerumani inayofundisha tamaduni za kijerumani pamoja na lugha ya kijerumani. Nimefika pale, ni pazuri
 
Oh nice vipi gharama zake mkuu
 
Oh nice vipi gharama zake mkuu
Sorry kwa kuchelewa lakini nadhani ilikuwa around laki 5kwa level 1.unakwenda in levels japo hicho kiasi sikumbuki vizuri kama ni chenyewe Ila nadhani Ndio hivyo.

Malazi na kitu vitu vingi me unajitegemea wao wanafundisha tu.
Kwa maelezo unaweza kuingia kwenye tovuti yao.Goethe institute tz
 
Shukurani sana mdau
 
Mimi nazifahamu sehemu mbili kwanza ni hiyo Goethe institute na nyingine ni Lugalo jeshini napo wanafundisha, kwa Lugalo nasikia madarasa yapo ya aina mbili moja ni la wajeda na lingine ni civilians.
Malipo kwa Goethe institute ilikuwa ni around laki tano (all inclusive) kwa muda wa miezi mitatu ya level moja Lakini ilikuwa ni by that time wakati nasoma pale na lugalo nasikia ni laki tatu na ishirini kwa level moja ila sina uhakika na hii bei kwa sasa.
 
Mkuu kama hutojali naomba ushee na Wanajukwaa mawili matatu ambayo walikuambia hasa kuhusiana na bei na duration pamoja na sessions pia
Aisee pale nilienda kuulizia siku nyingi sana miaka 6 iliyopita baada ya hapo sikupata muda wa kwenda kusoma na nikapotezea sikutilia maanani.
Ila bei zao ujipange kidogo ni sehemu wanasoma washua wamepaki ndinga zao nje.
Ila kwa haraka haraka jianadae katikati ya laki 3 hadi 4 hapo plus nauli zako za kwenda kila siku.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante sana Mkuu
 
Goitha institute, kiko karibu kabisa na Palm Beach, Dsm . Hiii ni taasisi ya kijerumani inayofundisha tamaduni za kijerumani pamoja na lugha ya kijerumani. Nimefika pale, ni pazuri

Nakushauri soma Kigiriki.
 
Back
Top Bottom