rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,806
- 9,506
Kuna kiwanja nahitaj kukinunua ila changamoto za hiko kiwanja ni kwamba kuna korongo dogo limekatisha katikati ya kiwanja yani hakipo flat kabisa.
Naomba kujua changamoto za kujenga kwenye eneo kama hilo ugumu wake na urahisi wake hasa kwenye hatua ya msingi.
Asante.
Naomba kujua changamoto za kujenga kwenye eneo kama hilo ugumu wake na urahisi wake hasa kwenye hatua ya msingi.
Asante.