Watanzania wenzangu habari!
Nimekuwa kwa muda mrefu nikisikiliza radio tajwa hasa vipindi vya michezo na magazeti. Lakini hata hivyo siku za karibuni sisikii vipindi hivyo badala yake muda mwingi wanapiga muziki! Je kuna changamotot yoyote ya uandishi au maadili !