Tanzania ina overpopulation kwa sababu zifuatazo;Nchi ili kukuwa kiuchumi inahitaji nguvu kazi nguvu kazi ni pamoja ni idadi kubwa ya watu..
Tanzania haihitaji kuwa na idadi ndogo ya watu la hasha , tunahitaji sekta binafsi na wawekezaji wenye makampuni kila kona ya mkoa , na serikali iangalia njia mpya za kutengeneza ajira ili ipate kodi kutoka kwa awafanya kazi
Hata hao china uliowatolea mfano na sera zao hizo za miaka hiyo , imapct yake wamekuja kuiona kipindi kile cha covid... yani china ina wazee wengi kuliko vijana na vijana nao hawazaliani..
Mfano mwingine fikiria nchi kama canada .. raia ni wachache sana .. kiasi kwamba nchi inategemea immigrants kama nguvu kazi yake.. ni kwasababu hizo
Jump again into conclusions boss😂😂😂Unacheka ama unachekelea? [emoji4]
Mimi Kila siku naliongea Hilo ila wapumbavu hawaelewiTunambebesha Samia lawama za bure tu. Yule Magufuli aliharibu mfumo mzima wa ajira na kipato katika nchi. Kwanza kwa kuanzisha miradi ambayo haina maana kama bwawa la Mwl Nyerere, kujenga viwanja vya hovyo vya ndege, kujenga Dodoma pasi na sababu, kunyima wafanyakazi haki ya msingi ya nyongeza ya mshahara na kuharibu kipato cha familia, kufukuzisha watu kazi hovyo, kuharibu mfumo wa mafao kwa wastaafu na sekta binafsi, kuharibu sekta binafsi, kuharibu mfumo wa siasa wa nchi na mwisho kufa kifo cha kizembe kwaajili ya ujuaji wa kijinga tu. Bye Magufuli.
At from diploma to mastersMkuu Phd nyingi hasa za wanasiasa na viongozi wa dini ni feki za kununua kutoka kwa matapeli-Diploma mills. Ukiwa na Phd Og huwezi ukateseka.
Na huwezi ukasoma kwa mfano Political Science and Public Administration kisha ukawa muoga wa kuingia kwenye siasa, hapo lazima uteseke.
Najua humu kuna watu wa level tofauti za elimu na uwezo tofauti wa kupambanua mambo binafsi nawaomba kwenye hoja ya population muiache kabisa hasa katika muktadha mnaozungumzia, mnaweza mkamlaumu mwendazake kwa mambo mengi sana ila kama kweli akili zenu zinafanya kazi vizuri basi mtaona na mazuri mengi aliyoyafanya katika taifa hili, kwanza kabisa suala la unemployment katika mataifa mengi ya kiafrica hayasababishwi na high rate of population growth sababu mataifa mengi ya kiafrika yana idadi ya watu ambayo ni ndogo ukilinganisha na rasilimali iliyopo bado tunatakiwa tuendelee kuzaliana kwa wingi angalau kumeet lile gap la rasilimali na population tuliyonayo.
Ukosefu wa ajira ni matokeo ya mifumo mibaya ya kielimu ambayo inamsaidia kijana kuondokana na ujinga tu na sio kuwa innovative katika mazingira yake hilo ni pamoja na sera mbaya katika kusimamia mgawanyo sawa wa rasilimali zinazopatika katika maeneo yetu. Kwa upande mwingine chukulia mfano babu zetu hawakuwa na ajira na walikuwa na wake wengi na watoto lundo na waliwasomesha wote waliokuwa tayari kwenda shule just kwa shughuli za kilimo na ufugaji leo sisi vijana tumesoma wote tumekuja daslam tumelundamana hapa tumeacha vijijini kwetu maeneo makubwa yamekuwa mapori maana hakuna shughuli za uchumi zinazoendelea huko wote tunataka kukaa ofisini kwa kifupi tumekuwa WAVIVU sana hatutaki tena kazi ngumu tuko tayari kuwa wapambe wa watu waliofanikiwa bila aibu tumeuza UTU wetu na wengine wameenda mbali zaidi wameuza jinsia zao kwa wanaume wenzao ili tu aweze kuishi mjini.
Tujitafakari sana kama taifa maana wazungu wametuingiza kwenye mtego wa mda mrefu na sasa tumenasa maana walituletea elimu ambayo ilitakiwa ituwezeshe kutumwa na wao na sasa tumekuwa watumwa wa kifikra.
Stage inayofuata ni vijana kuikimbia nchi yao na kwenda kutafuta fursa ughaibuni...
Kila mwaka vijana wanahitimu na kumwagwa uraini,
serikali imeshindwa kutengeneza mgumo wa ajira rasmi, wala ku support vijana walioamuwa kujiajiri kwenye ajira zisizo rasmi..
Nchi ili kukuwa kiuchumi inahitaji nguvu kazi nguvu kazi ni pamoja ni idadi kubwa ya watu..
Tanzania haihitaji kuwa na idadi ndogo ya watu la hasha , tunahitaji sekta binafsi na wawekezaji wenye makampuni kila kona ya mkoa , na serikali iangalia njia mpya za kutengeneza ajira ili ipate kodi kutoka kwa awafanya kazi
Hata hao china uliowatolea mfano na sera zao hizo za miaka hiyo , imapct yake wamekuja kuiona kipindi kile cha covid... yani china ina wazee wengi kuliko vijana na vijana nao hawazaliani..
Mfano mwingine fikiria nchi kama canada .. raia ni wachache sana .. kiasi kwamba nchi inategemea immigrants kama nguvu kazi yake.. ni kwasababu hizo
Tanzania ina overpopulation kwa sababu zifuatazo;
Darasa la wanafunzi kukaa 45, Tanzania wanakaa wanafunzi 100.
Ajira 50 zikitangazwa basi watakaoziomba ni watu 3000.
Matundu ya vyoo 10 mashuleni yanatumiwa na wanafunzi 1000.
Overpopulation inaenda mbali zaidi ya kuwa na eneo kubwa la ardhi tu, lazima namba ya watu iendane sambamba na huduma za muhimu vilevile fursa zilizopo.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja na Bado kununua wabunge,madiwan wenykt wa mtaaTunambebesha Samia lawama za bure tu. Yule Magufuli aliharibu mfumo mzima wa ajira na kipato katika nchi. Kwanza kwa kuanzisha miradi ambayo haina maana kama bwawa la Mwl Nyerere, kujenga viwanja vya hovyo vya ndege, kujenga Dodoma pasi na sababu, kunyima wafanyakazi haki ya msingi ya nyongeza ya mshahara na kuharibu kipato cha familia, kufukuzisha watu kazi hovyo, kuharibu mfumo wa mafao kwa wastaafu na sekta binafsi, kuharibu sekta binafsi, kuharibu mfumo wa siasa wa nchi na mwisho kufa kifo cha kizembe kwaajili ya ujuaji wa kijinga tu. Bye Magufuli.
Tatizo sio kufyatua , tatizo hapa unalikwepa ambalo ni "ukuaji wa uchumi wetu" ...Tanzania kuna overpopulation, kasi ya ukuaji Idadi ya watu haendani kabisa na ukuaji uchumi wetu. Usidanganye watu wazidi kufyatua.
Ndio kina chofauta kundi kubwa lanvijana wenye vyeti na degree mkononinwasio na mitaji na wameshindwa kujiajiri ..Tutakuwa kama Nigeria
Hahaha!! Sema maafisa usafirishaji, mkuuAjira zenyewe zilizobaki ni bodaboda