Mkuu kwan ilani ya tangu 2015 inasemaje kuhusu kutengeneza ajira? Maana tangu enzi hiyo waajiriwa kupata stahiki zao ilikuwa ngumu kuajiriwa wapya ngumu! Sasa iweje zigo ulishushie kwa utawala huu? Mara maridhiano mara asali. Maridhiano yanaingiaje kwenye issue ya ukosefu wa ajira?Huwa nilitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hisusani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama.imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.
Tutashukuru kama akili hizo wanazo🤒Na hawa ndio watu pekee watakao tusaidia kuwatoa ccm madarakani, acha wajae tu mkuu siku wakichoka itakua rahisi sana kukitoa hiki kizazi cha watu walio laaniwa(ccm), mimi nikiona ma-jobless wanaongezeka mitaani kwakweli nafarijika sana naamini hawa ndio watu pekee wa kulikomboa hili taifa siku wakiamka. Hawa chadema na act wazalendo ni ccm wale wale tu hawana jipya tena, wazazi tafadhali sana pelekeni vijana wenu vyuoni wakasome taifa linaangamizwa na wajinga wachache.
Our education system is irrelevant to the current situation...... Serekali itaajiri wangapi?Huwa nilitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hisusani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama.imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.
ruma sana vijana na badala ya serikali kashughulikia swala hiloa ndo Bado inadeal na wanasiasa sijui maridhiano asijua asali.
Ni hatari sana. Lakini kwa upande wa wananchi tuwe makini pia unapokwenda chuo unakwenda kusoma nini. Ni vizuri kujielekeza katika kozi/mafunzo ambayo unaweza ukajiajiri na ukaajiriwa, kozi ambazo bado ni hot katika soko la ajira na zinaweza zikakufanya ukajiajiri.Huwa nilitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hisusani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama.imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.
Ajira zenyewe zilizobaki ni bodabodani hatari sana. Lakini kwa upande wa wananchi tuwe makini pia unapokwenda chuo unakwenda kusoma nini. Ni vizuri kujielekeza katika kozi/mafunzo ambayo unaweza ukajiajiri na ukaajiriwa, kozi ambazo bado ni hot katika soko la ajira na zinaweza zikakufanya ukajiajiri.
mathalani mtu unakwenda chuo kikuu kusoma Human Resources - unategemea nini?, au unasoma agriculture lakini unataka ufanye kazi ofisini kwenye kiyoyozi. Au mtu unakwenda chuo kusoma Bee Keeping, lakini hutaki kwenda vijijini ukaanzisha ufugaji wa nyuki......
Hapo sasa.....Ajira zenyewe zilizobaki ni bodaboda
Eti elimu bure kuanzia la kwanza hadi Form Four wakati Sekondari walimu hawatoshi na wasomi wanazurura mitaani, hii akili tumeitoa wapi?Huwa nilitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hisusani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama.imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.
Hapa nchini hatuheshimu kabisa taaluma.ni hatari sana. Lakini kwa upande wa wananchi tuwe makini pia unapokwenda chuo unakwenda kusoma nini. Ni vizuri kujielekeza katika kozi/mafunzo ambayo unaweza ukajiajiri na ukaajiriwa, kozi ambazo bado ni hot katika soko la ajira na zinaweza zikakufanya ukajiajiri.
mathalani mtu unakwenda chuo kikuu kusoma Human Resources - unategemea nini?, au unasoma agriculture lakini unataka ufanye kazi ofisini kwenye kiyoyozi. Au mtu unakwenda chuo kusoma Bee Keeping, lakini hutaki kuwa mfuga nyuki uvune asali......
Uko sahihi kabisa kuwa mfumo wa ajira nchini umeharibiwa na Magufuri na hilo halina ubishi. Je,tufanyeje ili kuondokana na hilo?Magufuli shetani ndo kaharibu Elimu ya TANZANIA kafukuza wawekezaji kazuia Ajira za serikali yaani Mbwa yule achomwe tu moto
Mawazo mgando haya au wewe huna watoto wanaosoma shule za serikali? Nenda kule uone kulivyo na uhaba wa walimu wakati huo huo wasomi kibao wanazurura mitaani.Our education system is irrelevant to the current situation......serekali itaajiri wangapi?
Tunambebesha Samia lawama za bure tu. Yule Magufuli aliharibu mfumo mzima wa ajira na kipato katika nchi. Kwanza kwa kuanzisha miradi ambayo haina maana kama bwawa la Mwl Nyerere, kujenga viwanja vya hovyo vya ndege, kujenga Dodoma pasi na sababu, kunyima wafanyakazi haki ya msingi ya nyongeza ya mshahara na kuharibu kipato cha familia, kufukuzisha watu kazi hovyo, kuharibu mfumo wa mafao kwa wastaafu na sekta binafsi, kuharibu sekta binafsi, kuharibu mfumo wa siasa wa nchi na mwisho kufa kifo cha kizembe kwaajili ya ujuaji wa kijinga tu. Bye Magufuli.Magufuli shetani ndo kaharibu Elimu ya TANZANIA kafukuza wawekezaji kazuia Ajira za serikali yaani Mbwa yule achomwe tu moto
Kama ukiangalia kwa umakini mfumo unarejea kwa taratibu hata unmployment rate sio kubwa Kama wakati wa Magufuli maana sector binafsi zimeanza kujijenga then Vigezo vya Kupata passport vinaanza kuwekwa sawa ili watu twende nje kutafta green pastures so Magufuli shetani na kaharibu hii nchiUko sahihi kabisa kuwa mfumo wa ajira nchini umeharibiwa na Magufuri na hilo halina ubishi,Je,tufanyeje ili kuondokana na hilo?
CCM ndio kiini cha yote haya.Magufuli shetani ndo kaharibu Elimu ya TANZANIA kafukuza wawekezaji kazuia Ajira za serikali yaani Mbwa yule achomwe tu moto
Yule mjinga hafai maana zamani utawala wa Kikwete degrees Ilikuwa ni kitu Cha thamani Sana. Huyu SHETANI kaharibu mifumo Kuanzia sectors binafsi na Serikali.Tunambebesha Samia lawama za bure tu. Yule Magufuli aliharibu mfumo mzima wa ajira na kipato katika nchi. Kwanza kwa kuanzisha miradi ambayo haina maana kama bwawa la Mwl Nyerere, kujenga viwanja vya hovyo vya ndege, kujenga Dodoma pasi na sababu, kunyima wafanyakazi haki ya msingi ya nyongeza ya mshahara na kuharibu kipato cha familia, kufukuzisha watu kazi hovyo, kuharibu mfumo wa mafao kwa wastaafu na sekta binafsi, kuharibu sekta binafsi, kuharibu mfumo wa siasa wa nchi na mwisho kufa kifo cha kizembe kwaajili ya ujuaji wa kijinga tu. Bye Magufuli.
Sawa kabisa.Kama ukiangalia kwa umakini mfumo unarejea kwa taratibu hata unmployment rate sio kubwa Kama wakati wa Magufuli maana sector binafsi zimeanza kujijenga then Vigezo vya Kupata passport vinaanza kuwekwa sawa ili watu twende nje kutafta green pastures so Magufuli shetani na kaharibu hii nchi
Sijakataa, CCM imechangia lakini pia wakulaumiwa zaidi ni yule kichaa ambaye aliharibu hata nguvu ya CCM ya kuhoji viongozi, akaasisi siasa za kusifia nanuchawa, Aliasisi siasa za kulipiza kisasi,akaharibu mfumo mzima wa mahakana, jeshi la polisi, JWTZ, usalam wa taifa na ofisi ya Taifa ya Mashtaka. Huyu mtu hakuwa kiumbe chakawaida. Ila Mungu fundi sana.CCM ndio kiini cha yote haya.
JPM alikuwa ni rangi tu katika huyu kinyonga(ccm).
Tusiingie kwenye mtego wa kupambana na rangi za kinyonga badala yake tupambane na kinyonga mwenyewe.
Upo sahihi kabisani hatari sana. Lakini kwa upande wa wananchi tuwe makini pia unapokwenda chuo unakwenda kusoma nini. Ni vizuri kujielekeza katika kozi/mafunzo ambayo unaweza ukajiajiri na ukaajiriwa, kozi ambazo bado ni hot katika soko la ajira na zinaweza zikakufanya ukajiajiri.
mathalani mtu unakwenda chuo kikuu kusoma Human Resources - unategemea nini?, au unasoma agriculture lakini unataka ufanye kazi ofisini kwenye kiyoyozi. Au mtu unakwenda chuo kusoma Bee Keeping, lakini hutaki kuwa mfuga nyuki uvune asali......
Magufuli shetani ndo kaharibu Elimu ya TANZANIA kafukuza wawekezaji kazuia Ajira za serikali yaani Mbwa yule achomwe tu moto