kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,528
- 2,188
Wasalaam,
Naomba kupata msaada wa kupata apk au namna yoyote ya kutafsiri kitabu kilichoandikwa kwa lugha ya kiingereza na kukitafsiri kwa lugha ya kiswahili?
Mwenye kujua namna ya kufanya huo mchakato nitashukuru akatugawia na sisi huo ujuzi,asanteni