Kuna App inayoweza tumika kuifatiia simu iliyopotea?

josephjul40

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
218
40
Wakuu kama mada inavyojieleza, hivi kuna app ipi au program ipi hata ya kulipia ambayo unaweza set ikawa unaitumia kuifuatilia simu yako kwa kutumia imei namba yake?

Ikawa inakupa location ya simu yako ilipo.
 
Hakuna app inayotumia IMEI number kufuatalia simu, polisi wanaweza kuwa msaada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom