Nangose 1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,202
- 6,781
Hivi wakuu, kuna App inashinda hii kwa kuonesha majengo au maeneo mbalimbali bila kuacha kitu chochote.. hii App nakubali sana na inanisaidia kupima maeneo shambani kwangu kwa Acre/hekta pia nikisafiri nikiwa mji wowote inanifikisha eneo lolote bila kuhitaji Maafisa usafishaji(Bodaboda)
Inapima umbali pia.
Ni app muhimu sana hii kwangu
Inapima umbali pia.
Ni app muhimu sana hii kwangu