Tetesi: Kuna anguko kubwa la CHADEMA?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,645
2,000
Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?

Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.

Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anguko la Jiwe
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,795
2,000
Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?

Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.

Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Humo mwenu mapunguani mko wengi sana. Watu mmewazuia kufanya shughuli za kisiasa, mnawaweka ndani hovyo !! lakini bado mnaona maluweluwe dhidi ya Cdm ?!

Mtu mwizi na mchawi hamuamini mtu yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,764
2,000
Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?

Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.

Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichaa aka jiwe anapenda sana kitonga mdiyo maana kamweka ndani mbowe ili apate wepesi kwenye uchaguzi. Pamoja na mbowe kuwa ndani bado jiwe anaweweseka tu hata usingize hapati. Poor jiwe.
 
Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,525

Haya ndo.madhara ya kubemendwa utotoni
 
MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,392
2,000
Kichaa aka jiwe anapenda sana kitonga mdiyo maana kamweka ndani mbowe ili apate wepesi kwenye uchaguzi. Pamoja na mbowe kuwa ndani bado jiwe anaweweseka tu hata usingize hapati. Poor jiwe.
Kwanini ktk kesi ya watu 7 Mbowe na Matiko tu ndio wawe ndan?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,261
2,000
Huu unaenda mwaka wa 4 toka Magufuli aingie madarakani. Kaja na sheria zake za mfukoni ili kuiua cdm lakini imeshindikana. Saa hii ajenda kuu ya Magufuli, serekali na ccm kwa ujumla ni jinsi ya kuifanyia cdm hujuma ili Magufuli awe rais, na wagombea wa ccm watangazwe washindi hata wasiposhinda. Angalia cdm inapigana huku imefungwa mikono lakini bado ndio habari ya mjini. Madaraka ya urais tu ndio kinga pekee ya ccm lakini sio ushawishi kwa umma.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,261
2,000
Kwanini ktk kesi ya watu 7 Mbowe na Matiko tu ndio wawe ndan?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Hao ndio wameonyesha kutumuogopa jiwe baada ya kuagiza wasimamizi wa uchaguzi kuwanyima haki yao uchaguzi.
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,160
2,000
Ndio ni chake na baba mkwe wake.

Mnashangaa nini kwani?
Si mnajua kupayuka payuka mkiwa wafata mikumbo..

Jijengene kivyovyote mtajiju.. 2020 mjue hamna la kuongezeka kwenu.
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,764
2,000
Kwanini ktk kesi ya watu 7 Mbowe na Matiko tu ndio wawe ndan?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Matiko ni victim tu. Anayetafutwa ni Mbowe
 
Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
11,670
2,000
Jiwe kajitundika.. nilikua kijiji kimoja vijana wameelewa kwamba jiwe na chama chake wamejikaanga. Na ni walagai
Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?

Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.

Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bababikko

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,393
2,000
Ndio ni chake na baba mkwe wake.

Mnashangaa nini kwani?
Si mnajua kupayuka payuka mkiwa wafata mikumbo..

Jijengene kivyovyote mtajiju.. 2020 mjue hamna la kuongezeka kwenu.
mwambie jiwe akawaombe radhi wananchi wa kusini kawatia hasara then kajikausha
 
MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,392
2,000
Hao ndio wameonyesha kutumuogopa jiwe baada ya kuagiza wasimamizi wa uchaguzi kuwanyima haki yao uchaguzi.
Kwa majibu haya kumbe ana HAKI ya kusugua huko segerea maana inaonesha wazi alikua anapimana ubavu na mamlaka.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,160
2,000
mwambie jiwe akawaombe radhi wananchi wa kusini kawatia hasara then kajikausha

Fungua uzi uelezee hayo ya hasara. Nitag nisome.. ukishindwa basi kaa na porojo zako.. korosho ambazo hazikufikia viwango nazo zielezee
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,236
2,000
Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?

Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.

Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Let's wait & see

Mwisho wake ni mgumu kwenu

I hate ccm
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,261
2,000
Kwa majibu haya kumbe ana HAKI ya kusugua huko segerea maana inaonesha wazi alikua anapimana ubavu na mamlaka.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Apimane asipimane, hizo ndio tabia za madictactor uchwara dhidi ya wapinzani wanaokubalika.
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
7,909
2,000
Kwanini ktk kesi ya watu 7 Mbowe na Matiko tu ndio wawe ndan?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Msingi wa swali langu Mbowe ndige CHADEMA kiasi hata Seraza chama zisinadiwe!

Indeed the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom