kuna anayetumia Phoenix OS

kuna anayetumia Phoenix OS

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,773
Reaction score
40,444
Aje anipe uzoefu wake nimeikuta mahali huku mtandaoni inapendeza naona ina features kama za andoid.

1565069339638.png
1565069401217.png

cc Chief-Mkwawa
 
Aje anipe uzoefu wake nimeikuta mahali huku mtandaoni inapendeza naona ina features kama za andoid.

View attachment 1172368View attachment 1172371

cc Chief-Mkwawa
Sio ina feature Kama Android, hio ni Android.

Kuna project inaitwa Android x86, ambayo inaport Android kwenye pc then wachina wanaimodify na kuweka majina yao, Kuna Phoenix os, remix os etc.

Kama una ki laptop Cha zamani unaweza kukipa nguvu na hio.
 
hasa ndio nilikuwa na lengo hilo nitafute kilaptop cha kidwanzi niweke hiyo os.
 
Back
Top Bottom