Kuna anaefahamu hii namba ni ya wapi?

Kuna anaefahamu hii namba ni ya wapi?

Umekosa deal la kazi.
Angalia sehemu uliyoapply kazi siku za karibuni.
 
Kweli tunahitaji mabadiliko,unakuta missed call unauliza namba ya wapi?
 
Hapana mkuu 00 inasimama badala ya alama ya kujumlisha na si hiyo 255. Bali hiyo 255 inatanguliwa na alama ya kujumlisha yaani + au 00. Umeelewa mkuu?
 
Back
Top Bottom