Kuna allowances zozote seminarini?

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Kwa sasa nipo mkoani mwanza na kiwanda x nafanya kazi, ila wakati natafuta kazi mwaka jana niliomba kufundisha seminari moja hivi ya wakatoliki, sasa wakuu naomba kujua kama wanaallowanzes zingine nje ya mshahara koz wananipa take home 1.1M ila sijui kama wanaallowances zingine ukiacha nyumba.

Hapa nilipo nalipwa kidogo ya hiyo ila kuna overtime ,je ntabanwa sana seminari? vp security ya kazi huko?
 
Back
Top Bottom