Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,877
Dah kumbe mambo haya yapoKuna jamàa huku mwezi uliopita kapata ajali ya pikipiki akiwa na mchepuko akakatwa mguu now ni kilema No reform No election
Aiseee ilikuwa aibu kubwa sana kwakweli na sio kwake tu mpaka kwa kazazi chakeUmenikumbusha kuna mdada mumewe alisafiri nje ya nchi, huku nyuma yeye akasafiri mkoani kwenda kwa mchepuko wake..!!
Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
Imagine unapata ajali ukiwa unatoka au unaenda kununua Malaya
Imagine unapata ajali kwasababu ulikuwa unafata umbea wa jambo Fulani.
Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu ambayo haikuhusu tena unaenda kwa kuvizia ulikatazwa.
Imagine unapata ajali ukiwa umetoka kumcheat mme au mke wako.
Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu kufata umbea au kugombanisha watu.
Kuna ajali alafu Kuna ajali za aibu, Mungu atuepushe na ajali za aibu.
Ni kheri kukosa kabisa ajali au kupata ajali ukiwa unatafuta ugali wako au wa familia Yako.
Karibuni. ....Uzi Tayari
NoneWho cares...
Malaya tuna-request online siku hiziImagine unapata ajali ukiwa unatoka au unaenda kununua Malaya
Imagine unapata ajali kwasababu ulikuwa unafata umbea wa jambo Fulani.
Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu ambayo haikuhusu tena unaenda kwa kuvizia ulikatazwa.
Imagine unapata ajali ukiwa umetoka kumcheat mme au mke wako.
Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu kufata umbea au kugombanisha watu.
Kuna ajali alafu Kuna ajali za aibu, Mungu atuepushe na ajali za aibu.
Ni kheri kukosa kabisa ajali au kupata ajali ukiwa unatafuta ugali wako au wa familia Yako.
Karibuni. ....Uzi Tayari
Yeye anaogopa binadamu, kwanini asingemuogopa Mungu ambaye angemtupa kuzimu/ Jehanamu,kwa kufa na dhambi zake?!🤔angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
Angekufa wala si shida...Umenikumbusha kuna mdada mumewe alisafiri nje ya nchi, huku nyuma yeye akasafiri mkoani kwenda kwa mchepuko wake..!!
Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
Baada ya ajali alielekea wapi?Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
Aliponea ponea sana, kuna wale tunaodanganya tupo mashariki ya kati alafu tupo magharibi ya mbali, Mungu atuepushie tu lisitukute jambo.Umenikumbusha kuna mdada mumewe alisafiri nje ya nchi, huku nyuma yeye akasafiri mkoani kwenda kwa mchepuko wake..!!
Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
Alikwambia mwenyewe kuwa huyo aliepatanae ajali ni mchepuko wake?Kuna jamàa huku mwezi uliopita kapata ajali ya pikipiki akiwa na mchepuko akakatwa mguu now ni kilema No reform No election
Lazima aache kuchepuka, hapo Mungu alimuonya moya kwa moyaUmenikumbusha kuna mdada mumewe alisafiri nje ya nchi, huku nyuma yeye akasafiri mkoani kwenda kwa mchepuko wake..!!
Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
Kuna dada mmoja mke wa mtu lakini alikuwa na mchepuko wake dereva wa malori ya kwenda Zambia na Congo huko. Chukulia anaishi chalinze center. Akaaga kwa mumewe kuwa anaenda Dar kwa ndugu zake kusalimia. Akafika Dar akasalimia kweli halafu wakaanza safari na mchepuko wake anaenda Congo ila angemshusha demu Chalinze kwake. Humo kwenye gari wakaanza starehe zao kwenye kitanda pale nyuma, gari akawa anaendesha utingo, lengo ashushwe Chalinze kwa mbele kidogo halafu ndio arudi center pale ambapo ndio kwake. Basi wakawa wanamalizia round yao ya kuagana humo kwenye gari, wakati ndio wanapita Chalinze center. Hapo hapo center mbele kidogo tu gari ikapata ajali mbaya ya kugongana na likaanguka. Dada na huyo mchepuko wake Dereva wakakutwa wako uchi kabisa, wa mnyama. Dereva amekufa, dada na utingo aliyekuwa anaendesha gari wako mahututi, ila utingo anaweza kuongea. Nadhani kwa ajili ya lile wenge la ajali utingo akatoa siri kwamba aliachiwa aendeshe gari dereva akawa na demu wanafanya mapenzi nyuma pale kwenye kitanda. Ilikuwa aibu sana.Imagine unapata ajali ukiwa unatoka au unaenda kununua Malaya
Imagine unapata ajali kwasababu ulikuwa unafata umbea wa jambo Fulani.
Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu ambayo haikuhusu tena unaenda kwa kuvizia ulikatazwa.
Imagine unapata ajali ukiwa umetoka kumcheat mme au mke wako.
Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu kufata umbea au kugombanisha watu.
Kuna ajali alafu Kuna ajali za aibu, Mungu atuepushe na ajali za aibu.
Ni kheri kukosa kabisa ajali au kupata ajali ukiwa unatafuta ugali wako au wa familia Yako.
Karibuni. ....Uzi Tayari
Ukishakufa huna cha kumjibu mtu!Umenikumbusha kuna mdada mumewe alisafiri nje ya nchi, huku nyuma yeye akasafiri mkoani kwenda kwa mchepuko wake..!!