Kuna aina ngapi za vipimo vya hiv?

Kama mtu unajiamini kuwa huchakachuliwi hovyo na siku zote unafanya maamuzi mazuri katika mahusiano kwanini uende kupima?Inaonekana siku hizi wapenzi wengi si waaminifu na ndio maana wakiachana kila mmoja hukimbilia kwenda kujua afya yake kwa kuhofia maambukizi,hongera babii kwa majibu mazuri!

Shosti hongera sana manake sikuizi mtu anaiogopa damu yake mwenyewe, mie nipime leo lakini kesho ukinambia niende tena ntaumwa tumbo,utadhani naenda kuzaa...lol

sio hvo joseph maisha sometimes yanakuwa kinyume na tulivotarajia ujue.tunapanga mungu nae anapanga shetani nae anapanga.relationship ni watu wawili,ila kumbuka kila mtu ana akili zake na moyo wake.unavoingia kwenye relationship wewe unaweza kuwa una malengo mazuri tu na huo uhusiano sasa mwenzio sasa???? ila yote maisha we have to go back and enjoy life brother?????????

Shosti hongera sana manake sikuizi mtu anaiogopa damu yake mwenyewe, mie nipime leo lakini kesho ukinambia niende tena ntaumwa tumbo,utadhani naenda kuzaa...lol
acha tu shosti ukimwi ni noma yaani kipimo kinatisha kile kidogo nife jamani

ahahaaa ni soo mtu asikuambie kidogo nife aisee yaani hofu ni mbaya sana

Hofu hii unayoisema uliipata hapa mpaka kidogo ufe NDIYO UKIMWI wenyewe, HOFU au stress kwa kiingereza hukausha maji mwilini. Wale watetezi wa mada kuwa kuna kitu kinaitwa hiv ambacho husababisha AIDS watalipinga hili kwa utetezi kuwa watu hupewa ushauri kabla ili kuwaondolea hofu hii!, wakati mke wangu mjamzito tulienda pamoja kriniki na tulishauriwa kuhusu hiv kwa muda kama wa dakika 40 hivi kisha tukaambiwa tupime!, mtu anaweza kuondolewa hofu kwa ushauri wa nusu saa?. Inahitajika vipimo wakati huo usiwe ni muda wake wa kutoa jibu la POSITIVE.

Stress equals to dehydration and dehydration will cause further stress. but water is LIFE. Hofu huleta baadaye magonjwa mengi bila idadi mpaka kudhoofisha kinga ya mwili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. AIDS can not be caused by HIV, AIDS IT IS NOT A CONTAGIOUS DISEASE.

mmmmmh interesting?????

HTML:
majibu yangu yanasema detection of antibodies to hiv -1&2 in human serum

technique-    1                            sd bioline

2                        HIV 1 AND 2 DERERMINE(ABBOT IMMUNOCHROMATOGRAPHY

3                             UNIGOLD

4                        ELISA

RESULT NEGATIVE

SWALI MBONA MAJIBU YA KINA SITA YAPO TOFAUTI?
Bebii nina wasiwasi na hayo majibu yako kama ilivyo kwa yale ya akina Sinta na mwenzake, kwa sababu zifuatazo....

1) kawaida ukishapima kwa kipimo cha BIOLINE kikiwa NEGATIVE, hakuna kipimo kingine kinachopimwa, sasa wewe vimepimwa vyote BIOLINE pamoja na DETERMINE.. Kama BIOLINE kikiwa POSITIVE ndo unahakikisha kwa kutumia DETERMINE. UNIGOLD ni cha kukata mzizi wa fitina yaani BIOLINE ikiwa POSITIVE na DETERMINE ikiwa NEGATIVE ndo kinatumika cha UNIGOLD.Majibu yake ndo yatakuwa majibu sahihi.

2) Kwa kawaida majibu ya HIV mgonjwa haandikiwi Form kama yale ya malaria n.k, ila anapewa tu kikadi kidogo na kuambiwa arudi baada ya miezi mitatu kama ni negative au anapewa barua ya rufaa ya kwenda kituo cha walioathirika kama ni positive. Majibu hayaandikwi popote kwenye karatasi anayopewa mgonjwa bali anaambiwa tu kwa mdomo!

Tukirudi ktk suala lako naona liko tofauti na yote niliyoyaeleza hapo juu, hivyo nna wasiwasi kubwa na majibu yako!!!

sirbonge..mi mwenyewe simuelewi..nahisi ni muongo na muongopeaji. SD BIOLINE ikiread non reactive[-ve], unarudi nyumbani.DETERMINE ni baada ya SD BIOLINE kuread reactive[+ve] ndiyo inaconfirm. Kwani SD BIO hata kama una ugonjwa wa zinaa mwingine mf.Gono au Syphillis,inaread +ve ..

Kama mtu unajiamini kuwa huchakachuliwi hovyo na siku zote unafanya maamuzi mazuri katika mahusiano kwanini uende kupima?Inaonekana siku hizi wapenzi wengi si waaminifu na ndio maana wakiachana kila mmoja hukimbilia kwenda kujua afya yake kwa kuhofia maambukizi,hongera babii kwa majibu mazuri!

kujua afya yako muhimu na vipimo vyote vya ukimwi, cancer,...etc ni muhimu.

HTML:
majibu yangu yanasema detection of antibodies to hiv -1&2 in human serum

technique-    1                            sd bioline

2                        HIV 1 AND 2 DERERMINE(ABBOT IMMUNOCHROMATOGRAPHY

3                             UNIGOLD

4                        ELISA

RESULT NEGATIVE

SWALI MBONA MAJIBU YA KINA SITA YAPO TOFAUTI?
Bebii nina wasiwasi na hayo majibu yako kama ilivyo kwa yale ya akina Sinta na mwenzake, kwa sababu zifuatazo....

1) kawaida ukishapima kwa kipimo cha BIOLINE kikiwa NEGATIVE, hakuna kipimo kingine kinachopimwa, sasa wewe vimepimwa vyote BIOLINE pamoja na DETERMINE.. Kama BIOLINE kikiwa POSITIVE ndo unahakikisha kwa kutumia DETERMINE. UNIGOLD ni cha kukata mzizi wa fitina yaani BIOLINE ikiwa POSITIVE na DETERMINE ikiwa NEGATIVE ndo kinatumika cha UNIGOLD.Majibu yake ndo yatakuwa majibu sahihi.

2) Kwa kawaida majibu ya HIV mgonjwa haandikiwi Form kama yale ya malaria n.k, ila anapewa tu kikadi kidogo na kuambiwa arudi baada ya miezi mitatu kama ni negative au anapewa barua ya rufaa ya kwenda kituo cha walioathirika kama ni positive. Majibu hayaandikwi popote kwenye karatasi anayopewa mgonjwa bali anaambiwa tu kwa mdomo!

Tukirudi ktk suala lako naona liko tofauti na yote niliyoyaeleza hapo juu, hivyo nna wasiwasi kubwa na majibu yako!!!
kha umeridi hata mimi yangu niliambiwa kwa mdomo ila nafikiri yaliandikwa kwenye fail ... lol

halafu kuna siku wakati nilikuwa naumwa kikohozi nilishawahi kutoa ushuhududa humu,kumbe moja ya vipimo dk. aliivyoniandikia ni ni hicho mimi mwenyewe bila kujua ila wakati naenda kufuata majibu akaniambia hongera je ulishawahi kupima Hiv. huko nyuma nikamwambia ndio basi hata mii nimekupima majbu ni negativ sio siri nilishituka pamoja na kufurahi. Hilii gonjwa sio siri linatisha na ni mbaya zaidi ile hali ya kusubiria majibu... lol si kihoro hicho. hongereni kwa mnaojua mko katika hali gani? sasa hivi kuna ugonjwa unaitwa cancer mmh naona nao ni zaidi ya ukwimwi.

Back
Top Bottom