Kuna aina mbili za wanaume

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Wa kwanza - Ni wale ambao wanawake wanawatafuta kwa kuwatega na kujitongozesha

Wa pili - Ni wale wanao watongoza wanawake bila wao kutongozwa.

Katika group la wa kwanza. Cha kushangaza, wengine mpaka unajiuliza kwanini anapapatikiwa hivi?

Mda mwingine mpaka hawa wanawake hugombana.

Embu wanawake fungukeni, kuna siri gani.

Najiuliza ni nyota ya mtu ama?

Au wana majini mahaba?
 
mara zote kila mwanaume yuko kundi zote mbili.........ili utongozwe na wadada lazima na wewe ufungue milango....kila mtu ana wanyonge wake......ukiona hutongozwi na wadada ujue huja pay attention...tu.....siku hizi kila mwanaume anatongozwa
 
Hata ww pia ushatongozwa??
 
kismati ndugu wengine wako hivyo
 
kuna wale:
1. wenye umbo zuri ila hana hela na kitandan ndo vile tena!!!
2. ni mzuri mpaka anakuwa shoga kwa kujiona!!!!
3. kuna wale wazuri kisa ana hela nyingi!!!
4. kuna wazuri wanagombaniwa na wasichana ila wanajiheshimu na wana kazi nzuri mfano mzuri kama mimi..."
5. kuna wazuri ila hawana bahati ka ajili ya hasira zao!!!
na kadhalika...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…