Kuna Aina 5 za Haiba za Wanaume

Kuna Aina 5 za Haiba za Wanaume

Bachelor ll

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
4,103
Reaction score
6,698
Kuna Aina 5 za Haiba za Wanaume;

Alpha: Mtawala , badboy

Sigma: Mkimya, haeleweki, silent killer

Gamma: Anapenda vitu hatari, fun lover

Beta: Mnyenyekevu , Fara hivi, nice guy

Omega: Mvivu/ sio wa kujionyesha, but high IQ

Kwa tabia yako haiba yako ni ipi?

Mimi nipo kwenye Kundi la Kingdom Monera
 
Kuna Aina 5 za Haiba za Wanaume;

Alpha: Mtawala , badboy

Sigma: Mkimya, haeleweki, silent killer

Gamma: Anapenda vitu hatari, fun lover

Beta: Mnyenyekevu , Fara hivi, nice guy

Omega: Mvivu/ sio wa kujionyesha, but high IQ

Kwa tabia yako haiba yako ni ipi?

Mimi nipo kwenye Kundi la Kingdom Monera
Mboni Mimi ni mchanganyo wa vyote sasa itakuaje?
 
Ampibia, sieleweki, majini na ardhini nipo......hasira mlima
 
Kuna Aina 5 za Haiba za Wanaume;

Alpha: Mtawala , badboy

Sigma: Mkimya, haeleweki, silent killer

Gamma: Anapenda vitu hatari, fun lover

Beta: Mnyenyekevu , Fara hivi, nice guy

Omega: Mvivu/ sio wa kujionyesha, but high IQ

Kwa tabia yako haiba yako ni ipi?

Mimi nipo kwenye Kundi la Kingdom Monera
Uliyemsomankakus9mesha ujinga.

Nakushauri soma The Perfumed Garden.
 
Back
Top Bottom