Wewe ni Masia Mwana wa MUNGU aliye hai, mkombozi wa ulimwengu, aliyekufa msalabani Kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafufuka Siku ya Tatu!Japo sijasoma uzi wote lakini mimi ni ALFA NA OMEGA kwa pamoja!
Amina!Wewe ni Masia Mwana wa MUNGU aliye hai, mkombozi wa ulimwengu, aliyekufa msalabani Kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafufuka Siku ya Tatu!
Bibi huwa anapiga kidogo mvinyo siku moja moja😅Hapo umeandika nini? Kichina?