Kumwambia mkewe ukweli sasa kuna mgharimu

Kumwambia mkewe ukweli sasa kuna mgharimu

Kuna ukweli wa unachokisema

Ila, duh. . .

hii situation ni kubwa na inahitaji calm head na ushauri from wazazi/padre/psychiatrists. sisemi kafanya vizuri kuleta wanaume ndani lakini she didn't know how to react. Im sure ataona makosa yake na kuomba mume msamaha after consultation hasa ukizingatia mume kamwambia ukweli na kumlinda. sijaelewa 'kama mti hajalala njaa hawezi jua njaa'
 
m ndhan haujakosea sana kumpa huo ushaur warud kwa wazee wao wawasimulie mambo yote then family itakaa na kutatua
 
Kichwa kinauma!..

Huyu mama inabidi awekwe chini ashauriwe ninadhani kweli ni msongo tu unamfanya hivyo..
 
nimevaa kiatu cha hiyo familia na namba sawa ila kimegoma kuingia kabisa jamani ngoja nikatafute namba 45 du my kaka HorsePower njoooo nivalishe kiatu eeeeeeeeeeeeeee

Tatizo siyo namba ya kiatu au size ya mguu wako, size ya mguu inaendana na namba yako ila itakuwa mguu umevimba ndiyo maana hauingiii!

Katika ndoa, mwanandoa mmoja akipata tatizo kama hili si kibali cha mwanandoa mwingine kufanya uhuni, hii si haki na ni kinyume na taratibu za ndoa. Nafikiri kwa tabia hizi ambazo amezionyesha huyo mama ni vyema kuwashirikisha ndg wa karibu kusolve tatizo na kama itashindakana kabisa, basi solution ni kumpiga talaka. Ni heri lawama kuliko fedheha.
 
Na ndiyo maana unaambiwa kuwa ndoa ni uvumilivu kwa hiyo ningemshauri amsamehe kama ni kosa la kwanza na kama ni tabia yake basi ni kumbwaga (kupiga) chini no discussion.
 
Mi naona walipokosea wanandoa hawa ni pale walipoamua kununua kitanda na kila mtu kulala kivyake. Wakaua 'intimacy'. Ndoa haiwezi kuendelea bila intimacy.

Najua huyo mzee anatamani kuachana na mkewe lakini anaogopa ile 'siri' waliyoamua kuificha itafichuka.

1. Anapaswa kuwa wazi kuhusu hali yake, akubali matokeo maana kwa sasa inaonekana bado yupo kwenye denial.

2. Watu wengi wanaamini ndoa ya kikristo hasa katoliki mwisho wake ni kifo tu. Lakini ukweli ni kwamba kumkamata mwenzio ugoni ni sababu pekee inayokubalika kuivunja hiyo ndoa. Kwahiyo wasichoshane, maana kwa hatua hiyo mambo yameshaparaganyika. Ila ndio mkumbuke, ndoa ya kikatoliki ikivunjika huna ruksa ya kuoa/kuolewa mpaka mwenzio atakapofariki.

Ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom