Kumuogopa MUNGU ni kuacha uovu

Kumuogopa MUNGU ni kuacha uovu

sijafulia

Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
86
Reaction score
2
Watanzania tulioamua kumpenda na kumheshimu mungu
wakati muafaka kutii amri za mwenyezi mungu na kufanya
yale anayotuagiza kutenda..tutakuwa wanafiki kuishi
maisha ya unafiki uzinzi wizi nk huku tukijitangaza tunampenda
na kumwogpa mungu......

Ahsanten
 
One cannot escape the obvious correlation between poverty and religious belief; most religious countries are poor, while most wealthy nations are secular and technologically advanced. To quote a South African dub poet, Mzwke Mbuli: "Now is the time to give me roses, not to keep them for my grave to come". It seems god's roses will come after we die, cause it ain't rosy yet down in TZ!
 
Njia nzuri zaidi inayowezekana ya kuacha kutenda maovu ni kumpenda jirani yako.

Ukimpenda jirani yako huwezi kuiba vyandarua vya misaada. Ukimpenda jirani yako, huwezi kumwuzia nyama kilo moja ukampa robo tatu kilo. Ukipenda jirani yako, huwezi kumtamani kimapenzi mtoto wake wa miaka kumi na saba wakati uko kwenye ndoa yako. Ukimpenda jirani yako, huwezi kumchomekea. Ukimpenda jirani yako, huwezi kuacha kumtendea haki.

Tuwapende jirani zetu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom