KadogooCate
JF-Expert Member
- Dec 16, 2017
- 484
- 1,100
Ndoa ni kama ubunge tu ujue kusoma na kuandikaKwani maisha ya ndoa yanahitaji kiwango gani cha elimu
Ndoa ni kitu ambacho hakihitaji wenye elimu ila kinahitaji walio tayari kuridhiana na kupendana katika hali zote
Nimesema wavulana Ila namanisha gender ya kiume kwa ujumla nimetumia neno wavulana ili kuipa uzito maada.
Lakini madada zetu hawa wenye elimu zao ukiwatongoza wana jishembendua sana tatizo huwa ni inferiority complex au kujionaNi kwelii
Wanalika kirahisi mnoo wewe tu na gia zako zakuingiiaaLakini madada zetu hawa wenye elimu zao ukiwatongoza wana jishembendua sana tatizo huwa ni inferiority complex au kujiona
Thanks for a little opening explanation...
Kumbe nowdays love is about moneyUnawazia elimu 2020 harafu hana ela ?
Saivi mwanaume ni pesa tuu utawapata wengi hadi wenye PhD za Harvard
Thanks for a little opening explanation...
Wavulana tunajua huwa ndo wanatongoza so nimebase kwao ili kuibua mjadala vinginevyo ningetumia mwanaume wengi wao wapo kwenye ndoa tayari
Wakati mwingine ni vizuri kujua unataka kuzungumza nae nini na kwa nini ili ujipange unaenda mwambia nini.Lakini madada zetu hawa wenye elimu zao ukiwatongoza wana jishembendua sana tatizo huwa ni inferiority complex au kujiona
Elimu haiwezi kuwa kikwazo kwa mwanaume anayejielewa
Mbona kama unachanganya madesa mkuu..unatafuta ugomvi na wanaume walio single humu ndani ee😅😅😅😅Thanks for a little opening explanation...
Wavulana tunajua huwa ndo wanatongoza so nimebase kwao ili kuibua mjadala vinginevyo ningetumia mwanaume wengi wao wapo kwenye ndoa tayari
Aahh hapana mada isichafuke mwishowe hata walio kwenye relationship wasemeMbona kama unachanganya madesa mkuu..unatafuta ugomvi na wanaume walio single humu ndani ee
Sasa rekebisha kauli yako kuwa kuna wanaume wako singo bado.na sio eti wanaume wote wako ndoani!!mwanangu acha masihara aise.Aahh hapana mada isichafuke mwishowe hata walio kwenye relationship waseme
Msichana anayemkataa mwanaume kwa vile ana kiwango chini yake cha elimu, anakuwa anajitambua. Huyo mwanamke ni wife material haswa! Uzoefu unaonesha kuwa miaka 5 ya kwanza kila kitu kitakuwa sawa ila mbele ya safari hasa baby na darling vikitoweka kinywani hapo inferiority complex ya mume ikikutana na superiority complex ya bibie huleta shida. Kawivu kanakuwepo hasa bibie akikutana na wasomi wenzie au kukumbushana ya mabibo hostel, hall 3 etc. Kwani jiulize, Kwanini ndoa za viongozi hazikawii kuvunjika hasa mama akiwa ni kiongozi. Halafu piga ua akinamama hupenda kutoa introduction kuwa huyu mume wangu ni mtendaji wa kijiji (wakati yeye mama akiwa mkulima) siyo awe afisa tarafa na aseme mume wangu ni dereva bajaji.Mara nyingi katika masuala yanayowapa wakati mgumu vijana katika kuchagua wenza wao. Ni pamoja na suala la kiwango cha elimu walichonayo.
Wasichana wengine huwakataa wavulana kwa kigezo cha elimu waliyonayo? Je mnahisi elimu inaweza kuwa kikwazo cha mahusiano baina ya watu wawili lakini kabla lazima tutambue akili siyo elimu na elimu siyo akili
OK no problem the topic is for both men and boys doesn't matter whether they are in relationships or not lets make it clear on thatSasa rekebisha kauli yako kuwa kuna wanaume wako singo bado.na sio eti wanaume wote wako ndoani!!mwanangu acha masihara aise.
Hapa sawa sasa.tunaweza endelea na majadiliano.OK no problem the topic is for both men and boys doesn't matter whether they are in relationships or not lets make it clear on that
Duuh! Well saidMsichana anayemkataa mwanaume kwa vile ana kiwango chini yake cha elimu, anakuwa anajitambua. Huyo mwanamke ni wife material haswa! Uzoefu unaonesha kuwa miaka 5 ya kwanza kila kitu kitakuwa sawa ila mbele ya safari hasa baby na darling vikitoweka kinywani hapo inferiority complex ya mume ikikutana na superiority complex ya bibie huleta shida. Kawivu kanakuwepo hasa bibie akikutana na wasomi wenzie au kukumbushana ya mabibo hostel, hall 3 etc. Kwani jiulize, Kwanini ndoa za viongozi hazikawii kuvunjika hasa mama akiwa ni kiongozi. Halafu piga ua akinamama hupenda kutoa introduction kuwa huyu mume wangu ni mtendaji wa kijiji (wakati yeye mama akiwa mkulima) siyo awe afisa tarafa na aseme mume wangu ni dereva bajaji.
True..hofu ya Mungu.Nina karibia kuoa mwanamke msomi kabisa muda si mwingi vijana msiogope kuo a mwanamke aliekuzid kidogo kielemu ila tafuta Alie na hofu na Mungu kwanza