Kumtendea haki punda!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Tambola na mokili, yomona makambo (tembea duniani uone mambo) - Johnny Bokelo

Punda amepata lifti. Kudaadadeki!

 
hamna bwana mzee amekua considerate kidogo..! ndio maana amempakiza buwana..!
 
iyooooooooooooo maeeeeeeeeeeeee yangeeeeeeeeeeeee, bashutura engodobe
 
Imependeza baba,
Nao ni viumbe inapaswa kuwafanyia uadilifu mara moja moja.
 
Kama punda amekusaidia kufanya kazi kubwa si vibaya ukampa nafasi ya kupumzika kwani naye ni kiumbe hai
 
la hasha, Binadamu huyu huyu ninaemjua mimi?? Punda huyu atakuwa anaumwa hapa anapelekwa Veternary ili apone aje apige mzigo wa nguvu.
 
hapo kweli punda katendewa haki. Sasa punda akirudi kazini atajua bosi wake anamjali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…