Kumtafuta mchepuko wa mumeo

Itoshe tu kusema pole mamie,Jamaa ako kaonesha dalili mbaya hata kabla ya ndoa,jaribu kutafakari vizuri na uchukue hatua inapobidi.
 
Acha kutetea upuuzi, wanaume wengi wanachepuka ila hawaonyeshi dharau za waziwazi, hakuna ndoa hapa…dada separate, mistake ni kusubiri abadilike na kutulia, it will never happen my dear.
Ndivyo mlivyo sikushangai. Huwa hamtaki kuujua ukweli. Kumbuka ule mjadala wa aliyemshitaki kwa kumsingizia amebaka mtoto wa kufikia
 
Pole sana dada angu unaonekan unaupendo na jamaa lkn yeye haheshimu upendo wako jipange taratibu aje akutafute kwa tochi kama una mtoto bc huyohuyo usibebe mimba nyingine usimuulize chochote atajiona keki fanya yako ya muhimu
 
Nlishaiona hii mivie
 
Labda humu kuna watu wanamjua mchepuko wa mumeo.
Kwanza tuambie unataka ukaribu na huyo mchepuko kwa lengo gani?

Usimdhuru mwanamke mwenzako kwa ujinga wa mwanaume
 
If taarifa hii ni kweli, nakushauri acha kuumiza kichwa chako tulia, wewe huwezi kumzuia mwanaume wako hasichepuke.

Wanawake mnapaswa mjue, kwamba mwanaume ni kama jogoo la kuku au mbuzi beberu kisifa, ukiona mwanaume ameridhika na moja ujue ana matatizo huyo.

Mimi niseme tu ukweli nampenda mke wangu ila namcheat, kuna mda nahitaji game aina fulani ambayo siwezi kuupata kwa mke wangu ila suluhisho ni mchepuko.

Kile ninacho kifanya kwa mchepuko siwezi peleka kwa mke wangu mpendwa na mama watoto wangu itakuwa ni mateso na maumivu kwake, hivyo nampenda mke wangu na sitaki ajue na sijawai kulala nje wala kumuonyesha dalili yoyote, simu zangu password anazijua zote na namuachia hadi hizo simu
 
Labda humu kuna watu wanamjua mchepuko wa mumeo.
Kwanza tuambie unataka ukaribu na huyo mchepuko kwa lengo gani?

Usimdhuru mwanamke mwenzako kwa ujinga wa mwanaume
Mwanaume kuchepuka sio ujinga, na kama kweli wewe ni mwanaume anajua unalitambua hilo, ndoa nyingi zimeshikiliwa na michepuko.
 
Tabia ni kama ngozi haibanduki....chagua mawili kuvumilia au kusepa
 
Uko cheap sana, unaenda je kukaa kwa mtu bila ndoa? Kisa amekamilisha mambo ya kimila?
 
Humpendi mkeo wewe...ungempenda usingechepuka
 
Kile anachofuata huko hata wewe unacho.
Ongeza ufundi kwenye mapishi, ongeza ufundi na huko, mpe mumeo amani, jiweke msafi.

Ukitaka kumpata mwanaume hata Mimi, Ni chakula, Mambo ya ndani na amani.
Unafikiri angepata amani kwako angeenda kuhangaika?
Sio kweli,uchepukaji ni nature ya mtu,kuna mwingine hata umfanyie Nini atachepukw tu,na ukweli ni kwamba mwanaume abadilike TU mwenyewe,lkn mwanamke hawezi kubadilisha tabia ya mwanaume Hadi atake mwenyewe
 
Sio kweli,uchepukaji ni nature ya mtu,kuna mwingine hata umfanyie Nini atachepukw tu,na ukweli ni kwamba mwanaume abadilike TU mwenyewe,lkn mwanamke hawezi kubadilisha tabia ya mwanaume Hadi atake mwenyewe
Kuchepuka kunaketwa na,
1. Kero ya maneno maneno kwa wanawake wanaopenda kuongea Sana.
2. Kutopewa penzi vizuri, Mara anaumwa na kichwa, Mara tumbo, Mara hayuko kwenye mood.
3. Chakula kizuri, kule nje japo michepuko inatupikia na mauchafu yasiyo semeka lkn uongo mbaya, michepuko unajua kukarangiza.
4. Chura na nature ya mtu. Hii haina dawa mpaka MTU apate kisukari.
 
Ndivyo mlivyo sikushangai. Huwa hamtaki kuujua ukweli. Kumbuka ule mjadala wa aliyemshitaki kwa kumsingizia amebaka mtoto wa kufikia
Nani haujui ukweli… hamna ndoa hapo na wala mimi Sio wa kwanza kuliona hili, kuhusu kuchepuka kuna wanaume hawachepuki pia kwa tsarfa yako
 
Kaka hujasoma Nyakati tu. Mwanaume ukiwa na pesa unavumilika hata uwe na michepuko mia. Huyo bado ana njaa ndo maana anavumilia. Angekuwa na umate mate zamani. Aondoke akaanze upya atafute pesa yake Ili asinyanyasike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…