kitandachapesa
Senior Member
- Jun 8, 2019
- 157
- 164
Nimecheka.Achana nae na ufanye yanayokuhusu, ukimpata itakuongezea matatizo tu ya Kiafya. Mfano umkute kafungasha chuchu saa tano na nusu. Hapo utaanza nawewe kupiga jeki sijui. Tuliza kidudu Lea mtoto
Hii inakuwa changamsha jukwaa mkuu🤣🤣we unadhani wanafata ushauri wetu.Ni kweli, lakini watu wanaoongoza kuja hapa MMU kuomba ushauri kwa maswala ya mapenzi, sasa sijui unataka tuwaignore?🤔😄
Hakuna mwanaume ambaye hachepuki. Hata huko atakapoenda michepuko atakutana nayo tuKwa hiyo yeye awe busy anaombea hako kaupendo ili hali mwanaume yuko busy ana enjoy 🤣 huo si utumwa jamani. Kwani nani kasema single maza hawaolewi na pia sio lazima kuolewa kama hujampata mtu sahihi wa kuthamini upendo wako kwake.
Ni kweli lakini yatupasa kuchepuka kwa kuwaheshimu wake zetu pasipo kuwavunjia utu waoHakuna mwanaume ambaye hachepuki. Hata huko atakapoenda michepuko atakutana nayo tu
Wazee wa mikeka Madam atakuelewa kweli?😀Sio mmeo uyo mpka ndoa
.....so any timu can score...double chance
Umtafute umpige biti au ??.Habari za muda huu ndugu zangu,,
Ningependa kusaidiwa jambo.
Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko.. mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the time wanapigiana simu imefika wakati akiwa off anatoka anaenda kushinda nae huko anarudi usiku sana.
Kimapenzi na ustaarabu nikaona nisika kimya kwasabu siku zote hua simuulizi kabisa hata kama nikijua katoka huko kuchepuka huwa sipendi ugomvi namuacha tu ila huyu sasa ananitia wasiwasi. Imagine wanapigiana qimu hadi saa kumi na mbili asubuhi.
Kwakweli naumia sana nikashindwa kuvumilia nikamuuliza mwenzangu kwa upole na unyenyekevu kuhusu huyo mwanamke hakunibu vitu vinavieleweka zaidi akanambia and I quote " unataka nisiwe narudi nyumbani si ndio". Kuna sehemu tulikua tunaishi mwanzo tukahama kabla hatujaona (kila mtu alikua ana apartment yake) akanambia nikitaka kujua nikawaulize watu tuliokua tumepanga nao kule wanajua habari za huyo dada.
Natamani sana nimtafute huyo dada nipate closure tu. Kwa maana ndoa hatujafunga bado ni taratibu za mila tu ndo zimekamilika akaniomba kwa wazazi kwasabu tuna mtoto.
Je ni sawa nikimtafuta huyo dada?
Wanawake kama wewe ndio wa kuoa huyo bwege achana nae huyoHabari za muda huu ndugu zangu,,

Ehee anatakiwa kuonewa wivu ukishaona mme anakuchukulia poa jua humrushi roho Yaan kumuupdateKweli kabisa lazima aanze kujithamini mwenyewe ndo atathaminiwa, akimrusha roho kidogo tuu lazima mwanaume atapata wivu.
Ushauri mzuri sana huuHuyo jamaa yako hakupendi,hakuheshimu,hana hisia na wewe,hajali kwa hatua yeyote utakayoichukua dhidi yake,
Ushauri wangu ni kwamba,huyo mwanaume hakufai achana nae haraka sana,life is too short kuishi kwa mashaka mashaka au kuishi bila ya kua na furaha,
Achana na hicho kiumbe,rudi kwenu au kaishi peke yako,unapopotea njia ni vizuri kutulia na kuianza safari yako upya tena,huyo akisha kuoa atakutesa sana na utajuta,wake up and live.
Ukimtafuta tu huyo dada ww unafukuzwa na huyo dada ataolewa..Habari za muda huu ndugu zangu,,
Ningependa kusaidiwa jambo.
Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko.. mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the time wanapigiana simu imefika wakati akiwa off anatoka anaenda kushinda nae huko anarudi usiku sana.
Kimapenzi na ustaarabu nikaona nisika kimya kwasabu siku zote hua simuulizi kabisa hata kama nikijua katoka huko kuchepuka huwa sipendi ugomvi namuacha tu ila huyu sasa ananitia wasiwasi. Imagine wanapigiana qimu hadi saa kumi na mbili asubuhi.
Kwakweli naumia sana nikashindwa kuvumilia nikamuuliza mwenzangu kwa upole na unyenyekevu kuhusu huyo mwanamke hakunibu vitu vinavieleweka zaidi akanambia and I quote " unataka nisiwe narudi nyumbani si ndio". Kuna sehemu tulikua tunaishi mwanzo tukahama kabla hatujaona (kila mtu alikua ana apartment yake) akanambia nikitaka kujua nikawaulize watu tuliokua tumepanga nao kule wanajua habari za huyo dada.
Natamani sana nimtafute huyo dada nipate closure tu. Kwa maana ndoa hatujafunga bado ni taratibu za mila tu ndo zimekamilika akaniomba kwa wazazi kwasabu tuna mtoto.
Je ni sawa nikimtafuta huyo dada?
Aisee,pole sana dada,nakushauri kama una uwezo wa kumuacha huyo mwanaume muache mapema,atakusumbua sana mkishafunga ndoa,kama amekuonyesha dharau hivyo huyo hakupendi,ukiona mwanaume hajaoi hisia zako huyo Hana upendo na ww sema ni kwa sababu tu mna mtoto,jitahidi sana uanze kumtoa moyoni kidogo kidogo ili hata siku ukisikia kazaa na huyo dada usiumie zaidi,am speaking from experience,hata mimi yalinikuta nakapuuzia in the name of love and believing,yani nilikuwa nadanganywa naitikia tu kwa sababu nilimuamini kupita kiasi,kilichonikuta Mungu ndo anajua.Kwaweli sijawahi ndugu yangu ndo kwanza nilitaka nimtafute huyu .. huwa sipendi sana kuhangaika na michepuko yake lakini huyu kwakweli kazidi mpaka ananitia wasiwasi...
Yaani can you imagine leo katoka asubuhi kazini alikua night... so akirudi asubuhi huwa analala siku nzima ila akianza off ambayo ndo leo kaanza anaweza asilale... sasa kafika kala anasema anataka kutoka... na niliumia kidole so few days sijafua leo nimefua nguo zote kama box*r zake zooote zilikua mbichi kwenye kamba.... huwezi amini kaianua mbichi kakukausha na pasi na kasepa ndo sijamuona hadi sasa maana nilimwambia ni mbichi subiri zikakuke utatoka [emoji1787][emoji1787] kaona isiwe tabu kaikausha kwa pasi sasa ndo najiuliza ina maana huyo dada ndo muhimu kiasi hiki
Umtafute huyo dada umwambie nini?. Deal na mumeo mtarajiwa, yeye ndio mzizi mkuu wa tatizo kuliko kupambana na matawi.Habari za muda huu ndugu zangu,,
Ningependa kusaidiwa jambo.
Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko.. mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the time wanapigiana simu imefika wakati akiwa off anatoka anaenda kushinda nae huko anarudi usiku sana.
Kimapenzi na ustaarabu nikaona nisika kimya kwasabu siku zote hua simuulizi kabisa hata kama nikijua katoka huko kuchepuka huwa sipendi ugomvi namuacha tu ila huyu sasa ananitia wasiwasi. Imagine wanapigiana qimu hadi saa kumi na mbili asubuhi.
Kwakweli naumia sana nikashindwa kuvumilia nikamuuliza mwenzangu kwa upole na unyenyekevu kuhusu huyo mwanamke hakunibu vitu vinavieleweka zaidi akanambia and I quote " unataka nisiwe narudi nyumbani si ndio". Kuna sehemu tulikua tunaishi mwanzo tukahama kabla hatujaona (kila mtu alikua ana apartment yake) akanambia nikitaka kujua nikawaulize watu tuliokua tumepanga nao kule wanajua habari za huyo dada.
Natamani sana nimtafute huyo dada nipate closure tu. Kwa maana ndoa hatujafunga bado ni taratibu za mila tu ndo zimekamilika akaniomba kwa wazazi kwasabu tuna mtoto.
Je ni sawa nikimtafuta huyo dada?
Upendo ukishahama, ni neema ya Mungu tu ndio inaweza urejesha. Mpaka mtu anafanya kila kitu hadharani bila hofu hapo jahazi lishaingia maji zamani sana. Akicheza huyo mchepuko atampindua asubuhi na mapema.Kumtafuta mchepuko ni kujishushia heshma
Asiyejua thamani yako ni huyo aliyeamua kutafuta mchepuko
Sasa Kuna haja gani ya kuomba ushauri alafu usifuate wowote ule.? Ila katika hao wapo ambao wanakuwa katika situations ambazo by themselves wanaona hawawezi na kuhitaji ushauri my dear.Hii inakuwa changamsha jukwaa mkuu🤣🤣we unadhani wanafata ushauri wetu.