Kumtafuta mchepuko wa mumeo

Mpe tiGo
 
Ni jambo moja mwanaume wako kuchepuka kisiri na akawasiliana na mchepuko wake wala usijue...lakini ni jambo lingine kabisa kwa mwanaume wako ambaye hajakuoa kuanza kuongea na mchepuko wake muda wowote hata saa 12 asubuhi. Huyo hakupendi, hakujali, hajali hisia zako wala hajali hatua yoyote utakayochukua. Kama kuolewa tu ni kipaumbele chako...olewa. Kama kipaumbele chako ni ndoa yenye furaha nadhani hapo sio penyewe. Samahani lakini. Kuzaa kusikufanye ujute maisha yako yote. Kuna watu nawajua wamezaa kabla ya ndoa na wakaolewa na watu waliojua thamani ya mwanamke.
 
Asante sana nashukuru nimekuelewa
 
Asante nashukuru.. Sometimes akimpigia hapokei kama nipo au laah anatoka nje mbali kabisa na nyumba ndo akaongee
 
Utaendelea kutafuta michepuko ya huyo Mwanaume mpaka lini kipenzi?
Kwaweli sijawahi ndugu yangu ndo kwanza nilitaka nimtafute huyu .. huwa sipendi sana kuhangaika na michepuko yake lakini huyu kwakweli kazidi mpaka ananitia wasiwasi...
Yaani can you imagine leo katoka asubuhi kazini alikua night... so akirudi asubuhi huwa analala siku nzima ila akianza off ambayo ndo leo kaanza anaweza asilale... sasa kafika kala anasema anataka kutoka... na niliumia kidole so few days sijafua leo nimefua nguo zote kama box*r zake zooote zilikua mbichi kwenye kamba.... huwezi amini kaianua mbichi kakukausha na pasi na kasepa ndo sijamuona hadi sasa maana nilimwambia ni mbichi subiri zikakuke utatoka [emoji1787][emoji1787] kaona isiwe tabu kaikausha kwa pasi sasa ndo najiuliza ina maana huyo dada ndo muhimu kiasi hiki
 
Nimekaa nikakumbuka kisa cha mwanamke wa kiNigeria aliekuwa anafukuzia gari lililokuwa na mchepuko+mumewe nadhani...(don rem very well). But akaishia kupata ajali na kufariki katika ile Race. And miezi kadhaa baada, mumewe nae akafariki kwa sabbu ya mawazo kwamba uhuni wake ndio uliommaliza mke wake. Akajilaumu..sana, and nasikia alipata stroke kama sijakosea. So na yeye akasepa...mchepuko probably anatafuta project ingne kuzimu huko....ni vijiwazo tyuuuu🚶🚶🚶
 
Asante sana nashukuru na nimekuelewa pia
 
Ngoja tuwaachie uwanja wenu wanawake wa shoka, boss ladies mpeane maushauri
 
Asante sana nimekuelewa ndugu
 
Hakika, tunapaswa kutumia akili pia.
 
Hapo ndio mnafeli dada zangu kuishi na mtu bila ndoa anakuja na kiburi ambacho hakina maana,ushauri potezea kama mwanzo ulivyokua unafanya ataona ni utoto ataacha ila ukiwafatilia ndio utaibua mengine.
 
Aisee we vumilia ili akupatie zawadi ya Ukimwi kipenzi.
 

Achana nae Nawe jifanye Upo busy ahisi kama unachepuka hivi na usimjali kabisa utamuona atabadilika mnakaa ndani hata humstui mmeo kumrusha roho anakuona dada ake
 

Usiingie kwenye ndoa ukiwa na wasiwasi… em stop [emoji113] kwanza.
Wasiwasi kwenye mapenzi ni uvumbuzi wa kutambua tayar kuna tatizo
Na dalili hiyo inaonekana wewe ndio unampenda sana ndio maana hajali kuhusu (unataka nisiwe narudi nyumbani) ni jibu tosha kuwa wewe kwake haufurukuti
Cha Muhimu nakushauri kula maisha kwanza
Usije ukasema - SHIKAMOO MAPENZI
 
Asante sana nashukuru kwa ushauri... nitatendea kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…