God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Anakuheshimu vipi wakati anakusaliti. SijakuelewaNi kwel mkuu vp kwa mfano mwnamke akakussliti mara ya kwanza akakili na akaomba msamaha yakaisha alafu baada ya muda Tena karudia Yale Yale Tena vp unaweza msamehe
NB : bado anakujali na heshima iko pale pale yaan hajabadilika kitu
Mbona hakumsamehe lucipher alipoasi kule mbingini?Ni vizuri uwe mwepesi kusamehe kwa sababu najua makosa hayakosekani, so ukiwa unaweka vitu moyoni huo moyo utakuza mzito kama sim tak mwisho wa siku kukosa furaha moyoni.
Ukisamehe unakua comfortable sana na unabarikiwa na Mungu, embu jiulize Mungu angekua hasamehi dhambi zako tungebaki wangapi hapa duniani? Kuna makosa mazito sana kusamehe ni ngumu ila ww ukiwa tayari vitu vinapita tu na love inakua mingi sana... ila kwenye mapenzi pagumu mno mkuu...
Kusamehe ni kukipigia magoti kifo kiingie katika nyumba yenu.Ngoja namm nisamehe tuuu basi hakuna namna Tena sjui nmpende zaidi ili aondoe Ile hulka yake ya kuzoea kusaliti
Kusamehe ni kukipigia magoti kifo kiingie katika nyumba yenu.Ngoja namm nisamehe tuuu basi hakuna namna Tena sjui nmpende zaidi ili aondoe Ile hulka yake ya kuzoea kusaliti
Shikamoo!Kama umeingia kwenye mahusiano naye sababu ni mzuri,hata ukimfumania utamsamehe sababu uzuri wake bado upo.
Kama umeingia kwenye mahusiano sababu ni msomi ,hata ukimfumania utamsamehe sababu vyeti vyake bado vipo.
Kama umeingia kwenye mahusiano sababu anapesa hata ukimfumania utamsamehe sababu pesa bado zipo.
Kama umeingia kwenye mahusiano sababu mpo dini moja utamsamehe sababu bado mpo dini moja.
Kama umeingia kwenye mahusiano unatafuta wa kuishi naye hata ukimfumania utamsamehe sababu unachotaka ni MTU wa kuishi naye.
KAMA umeingia kwenye mahusiano unaamisi sio msaliti ,hutoweza kuendelea naye sababu ni msaliti.Na wewe hukuwa unatafuta msaliti.
he/she is not your choice
Maisha marefu?Lazima ujifunze kusamehe kwasababu it is the right thing to do. Unasamehe kwa faida yako wewe sio kwa aliyekukosea. Unaposamehe unajiweka huru, unaondoa sumu moyoni ambayo yaweza kukudhuru siku za mbeleni. Usiposamehe maana yake unaweka visasi, majuto na hasira vitu ambavyo ni madhara kwa afya yako ya kimwili na kiakili. Usiposamehe, maana yake unaongeza tatizo kuwa kubwa wakati unaposamehe unaondoa uhasama na pia unatoa fursa kwako na kwa aliyekukosea kujifunza. Lakini muhimu zaidi hata ufanyeje, ulie, ulipize kisasi, umkomoe aliyekukosea HAIFUTI LILE KOSA LA MSINGI ALILOFANYA MWANZONI.
Kuna tofauti kati ya a) Kusamehe na b) Kuendelea na huyo aliyekukosea. Uamuzi ni wako unaweza kusamehe na kuamua kuendelea na uhusiano kama kawaida au unaweza kusamehe lakini ukaamua kusitisha uhusiano - nakusamehe lakini sitaweza kuendelea na uhusiano. Ni kosa kubwa sana kutosamehe kwasababu madhara yake ni makubwa hasa kwako wewe, maana yeye ameshafanya. Kwa kuwa unampenda mwenzako, hakuna atakayekuhukumu kwamba umesalitiwa na ukaamua kumsamehe mwenzako na kuendelea na maisha yako.
Ili uendelee na mahusiano ni muhimu kuzingatia kwamba aliyekukosea anaonekana kujutia na kutubu kosa lake, kwani unaweza kuamua kuendelea naye lakini yakatokea yale yale.
Kusamehe ni lazima kama unataka kuishi maisha marefu yenye afya
Kama uchawi upo umerogwa siyo bure kama uchawi haupo lazima unashida katika akili.Nimekupata vizuri sana mkuu ushaur mzur saana kiukwel bado nampenda saana na yeye anaheshima saana hajawahi nionesha Ile dharau yaani Sasa sijajua huwa anapatwa nanini Paka anaamua kunisaliti
Kibaya zaidi Hua ananisaliti ambapo Hua hata hatupo katika conflict na waala nakua sijamkwaza
Inshort npo mkwel kwake 100% sijawahi mcheat muda wote na tuna five years
NB... Nampenda ila kila nkimuona na nkiifkilia yalotokea naumia sana
Kwann mkuu kurogwa kiaje fafanua vzurKama uchawi upo umerogwa siyo bure kama uchawi haupo lazima unashida katika akili.
Heshima nyingine Zote ukiachana na hiyoAnakuheshimu vipi wakati anakusaliti. Sijakuelewa
Hii kanuni ni yakwako tyu pekeeIla sijui kwanini wanaume wengi tukisalitiwa mtu akiomba msamaha unamwambia akupe tigo ili umsamehe
Sijui naskiaga tuu kuwa kunawachawi sijawahi waona au kuona kazi zao.Kwann mkuu kurogwa kiaje fafanua vzur
Nakupenda mtumishi !!Kwa sisi watumishi huwa tunawashtaki kwa Mungu, kumsamehe ni lazima