Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,858
Sasa unafanyaje mkuu kama mtu unampenda saana na mmewekeza vtu vng sana naeKupigiwa inauma sana aisee
Mm kusamehe nimeshindwa kabisa
Vipi Lakin watu huwa wanasamehe ??? MkuuInategemeana na moyo wa mtu
Mfano hakuna sababu mkuu yaan mko Safi tuu hamjagombana wala niniInategemea na sababu zilizopelekea akanisaliti
Anaeza akasamehewa na maisha yakaendelea........
Aiseee vipi lkn kuna ambao huwa wanasameheMambo ambayo nimeshindwa kbs mpk sasa hili ni mojawapo
Aiseee hatar saana mkuu kwahyo mwendo utakua ni ule uleDemu aliye zoea kupihwa nje,
Hata uki msamehe atapigwa tu,
Ni kwel mkuu vp kwa mfano mwnamke akakussliti mara ya kwanza akakili na akaomba msamaha yakaisha alafu baada ya muda Tena karudia Yale Yale Tena vp unaweza msameheKama amekusaliti mara moja na unaona anajutia kosa au ndio kosa lake la mwanzo unaweza kusamehe ingawa itakuwa inakuuma sana.pia cha kuangalia km anakuheshim na kukujali bado pia inaweza kuwa sabab ya kusamee.
Kusalitiwa ipo tu na huwa na sababu yake ila mi bado naamini katika dunia binadam kubadilika huwa ni ngumu sana!tabia na hulka kuzibali ni kibarua kizito sana.nobody can reborn yaani ukiambiwa kosa lako huwa hili na ubadilike lazma lile kosa litajirudia mfano kuwa jeuri au kiburi au dharau vilevile kujiona we ni very special hakuna kama wewe hizi tabia ni ngumu kuziacha hata ukiwa msaliti utaomba msamaha lakini kesho utafanya kwa kificho tena na utadakwa
Dawa yake na wewe tafuta kifaa kingine kikali zaidi yake uone km atachepuka tenaNi kwel mkuu vp kwa mfano mwnamke akakussliti mara ya kwanza akakili na akaomba msamaha yakaisha alafu baada ya muda Tena karudia Yale Yale Tena vp unaweza msamehe
NB : bado anakujali na heshima iko pale pale yaan hajabadilika kitu
Kweli kabisa mkuu yaan unakua naww una sababu hahahahaha... Ila sasa inakua ni kama mnakomoana magonjwa pia yatakua ni nyemeleziSamehe ili ukichepuka ukifumwa umkumbushe kua na wewe ulimsamehe