kumradhi jamani!!

ha ha ha sijacheka toka mwezi huu uanze baadhi ya comment zimenichekesha sana

asanteni sana
 
Sasa mkuu Chabo, unajua ungeshirikisha kwanza utafiti kidogo na akili yako kabla ya kuja hapa kuuliza, ni kweli JF ni kila kitu(encompasses all) lakini haimaanishi kuuuliza kila kitu(and dont say sasa, niulize/tuulize nini sina orodha ya vitu vinavyopaswa kuuliza JF ila FIKIRI)...na ndio maana ulianza na "kumradhi jamani".

Kufurahi na familia, inategemea sasa
-Familia ya ukubwa gani(hasa umri wa watoto/nduguzo)
- pesa iliyopo,
- wanapendelea nini,
- katika muda gani.

Ni kweli, tunatofautiana wengine hupenda mjini(ghorofa), "madaraja yanayopita juu" mpeleke Manzese darajani tu pale unakuwa umemaliza kila kitu(kama enzi zileeee)-joking.

Sasa kuna sehemu nyingi, fukwe(beach), hoteli(hotel), sehemu za sanaa, sehemu za kutunza wanyama(Zoo), kumbi za starehe n.k Wewe ndio hasa mwenye kujua uwapeleke wapi kulingana na mambo hapo niliyosema hapo juu.

Kuwa makini hasa kipindi hiki cha sikukuu, Goodluck.

ahsante mkuu kwa mchango wako.
 
Last edited by a moderator:
ahaa, JF sasa ni kapu la takataka. Na huyu naye ni great thinker

Wewe ndio kapu la takataka. Mbona kauliza suali zuri kabisa !!!
Unataka kila siku tuongelee migomo, maandano, lema, zitto, mwigulu, epa ....
Huchoki...........
 
Back
Top Bottom